Sijui mpaka lini?

Sijui mpaka lini?

habari wadau nilipotea kidogo nimerudi tena jukwaani.
jaman nimeamua kuleta kwenu ilinipate ushauri wenu tangu nieingia kwenye swala la mausiano mtu wakwanza kutembea nae alikuwa mke wa mtu hali iyo imeendelea ivo nikisha ishi na mke wa mtu miaka2 mpaka alipo shika ujauzto lakini nilijua mimba niyangu lakini mwisho wasiku akasema mimba si yangu na apo ndo ukawa mwisho mwetu japo bado ananiitaji.

na kama si mke wa mtu basi alikuwa nae wakatengana kiukweli sina hisia na wasichana wa dogo kiumri 20 naokutana nao ni zaidi ya miaka25 nakuendea lakini sio wazee na nimejitaidi sana kuepukana nao lakin inakuwa ngumu najua ninacho kifanya sio kitu kizur na kinacho nishangaza atakae ingia kwenye imaya yangu aruki.
jamani ushauri wenu ni muhimu sana na kiumri bado kijana sana lakin na wabeba tembo nifanye nn kuepukana na hali hiyo kwani imekuwa kama sehemu ya maisha yangu.

Hapo imebaki kushikwa tu ndiyo solution, usihangaike na njia nyingine, subir wakikushika utaacha
 
Back
Top Bottom