Habari wadau nilipotea kidogo nimerudi tena jukwaani.
Jamani nimeamua kuleta kwenu ilinipate ushauri wenu tangu nieingia kwenye swala la mausiano mtu wakwanza kutembea nae alikuwa mke wa mtu hali iyo imeendelea ivo nikisha ishi na mke wa mtu miaka miwili mpaka alipo shika ujauzito lakini nilijua mimba ni yangu lakini mwisho wa siku akasema mimba si yangu na hapo ndo ukawa mwisho mwetu japo bado ananiitaji.
Na kama si mke wa mtu basi alikuwa nae wakatengana kiukweli sina hisia na wasichana wa dogo kiumri 20 naokutana nao ni zaidi ya miaka25 nakuendea lakini sio wazee na nimejitaidi sana kuepukana nao lakin inakuwa ngumu najua ninacho kifanya sio kitu kizuri na kinacho nishangaza atakae ingia kwenye imaya yangu aruki.
Jamani ushauri wenu ni muhimu sana na kiumri bado kijana sana lakini na wabeba tembo nifanye nn kuepukana na hali hiyo kwani imekuwa kama sehemu ya maisha yangu.