Upo sahihi,ila nashangaa huyo dogo anachukia huko kwao kama zaidi ya diamond hapa bongo,halafu ukiangalia umaarufu wake ni noma,sikujua kuchukiwa unaongeza umaarufu wa mtu pia
Upo sahihi,ila nashangaa huyo dogo anachukia huko kwao kama zaidi ya diamond hapa bongo,halafu ukiangalia umaarufu wake ni noma,sikujua kuchukiwa unaongeza umaarufu wa mtu pia
Hahha.yeah.watu wengi wakikudis ni umaarufu pia...watu wanafkiri kumchukia mtu itamfanya awe mnyonge yani apukutike kabisa,kumbe ndo wanakua famous zaidi na unakuta kazi zao znakua sio za kubabaisha.wakifanya kitu cha maana hater anafyata tuu anakupondea ila ndo ivo tena tayar washasonga.haters hawajuagi tuu.bora wangenyamaza tuu