VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Nikapumzike,nikaburudike,na uchovu unitoke,wiki ijayo nianze kwa makeke,ingawa bado sina mke,nikaupunguze huu upweke. Nisaidieni wana-JF 'kiwanja' cha kwenda...

...cha kwa fundi Seremala.
Na kushauri uende library ukapitie vitabu mbali mbali hasa katiba ya jamhuri ya muungano.