Hapa nilipo nipo kwenye chumba kimoja nimepoa kweli nilitaka kupumzika kwa kucheki TV Bahati mbaya umeme umekata na utarudishwa kesho basi nikasema nijinunulie bando langu ni jitupe jamvini humu,Haya nimeshaingia lakini sijui nianzishe uzi gani.We kama huna cha kufanya umekosa wa kustorika naye Hebu Njoo Tustorike Huku