hapa unasema umefeli form four na kila unachosoma unafeli sasa tuamini nini
wewe dada ni muongo sana hapa unasema una diploma in journalism
hapa unajitambulisha kama lesbian
sasa tutaaminije stori hii kama sio chai kama ajisemeavyo BADILI TABIA ??
We achana na huyo kunguru wa feri .. lea mwanao mzazi wako kakwambia kweli.. hana adabu anajua kukojoa tu .. we jua ulichukua mbegu pale na huna mpenzi wala baba wa mwanao
Mtani usitoke mishipa ya shingo bure...kwa kumshauri...huyu kumbe anatufanya makatuni tu
.....mkuu MO11 ameshamuumbua.....
hapa unasema umefeli form four na kila unachosoma unafeli sasa tuamini nini
wewe dada ni muongo sana hapa unasema una diploma in journalism
hapa unajitambulisha kama lesbian
sasa tutaaminije stori hii kama sio chai kama ajisemeavyo BADILI TABIA ??
Ndio maana wengi huleta mizaha hata kama mtu tupo na shida. Tatizo ni viumbe kama hawa, waongo sana...
Mimi nakerwa sana na waongo wa jf!!Hapa jf nimewahi kukutana na mwongo mmoja mpaka kamzidi shetani,nadhani ni ndugu yake huyo dada!!shenzy type!
Kama shem wangu wa ukweeee...
Ha ha ha ha kamzidi shetani loh
Nina miezi 3 tangu nimejifungua.
Mzazi mwenzangu tulipanga kuona baada ya ujauzito akaniambia nitoe nikakataa basi tukarumbana tukawa tumekosana.
Nimekaa nyumbani na ujauzito nyumbani nikaambiwa niende kwa alienipa huo ujauzito nikaenda kwa nguvu japo jamaa hakutaka alinipikea tumekaa.
Simu yake na yangu zinafanana zote ni tecno m3
Kuna siku nikashika yake kwa kutokujua nikadhani yangu.
Alinitukana sana na kuniambia hanipendi ana mtu anaempenda sio mimi nisimng'ang'anie hanitaki kabisa basi nikaamua kuondoka nikamweleza mama ukweli basi akasema huwezi mlazimisha mtu kama hakutaki.
Nilipokaribia kujifungua nikamuomba hela akaninyima.
Sikuchoka nilipojifungua nikamtaarifu nikamtumia na picha ya mtoto hata hongera hakunipa aliulizia jinsia tu nilivyomwambia kakaa kimya.
Sasa kilichonifanya nije kwenu.
Mtoto anamiezi 3 kipindi chote hatukua na mawasiliano cha ajabu wiki sasa ananiambia niende kwake nikamsalimie kaniuliza na mpenda nikajibu ndio.
Anataka niende sijui nia yake nini mama kasema kama anakutaka aje hapa nyumbani sababu alikutelekeza bila msaada wowote umezaa hajaja hata kumuoba mtoto iweje leo akuite uende? nimemwambia aje kakataa siwezi kuja huko kwenu wewe njoo.
Sielewi lengo lake nini je kwa nini akatae kuja nyumbani au anataka kuniumiza tena kwani nilishaanza kuzoea japo nampenda sana sijui nifanye nini? sijui nia yake nini juu yangu
Yani unakuta mtu mwongo,katika kila sentensi tano,nne uongo!!yark,afu anadanganya kizoba,utadhani anadeal na watotot wadogo!!afu kumbukumbu zero!!
Kumbe huyu demu nyumbu aisee
Aiseee kumbe
Huyu demu sio watu mpaka tunatoka majasho ya meno kwa ajili ya kumfariji na kumshauri kumbe anatuchora tu...
We umekmvilia kwenye kusex tu....
Ila alichokisema mama yako ndicho chenye mantiki.. na kama una masikio basi msikilize mama yako.
Una mana gani
hakuna future zaidi ya majuto