KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,883
- 40,052
hapa unasema umefeli form four na kila unachosoma unafeli sasa tuamini nini
wewe dada ni muongo sana hapa unasema una diploma in journalism
hapa unajitambulisha kama lesbian
sasa tutaaminije stori hii kama sio chai kama ajisemeavyo BADILI TABIA ??

Aisee kumbe huyu dada anatufanya sisi makatuni.....watu mpaka tunaenda maktaba kuchimbua nondo na mapoint ya maana kumfariji.....kumbe anatufanya sisi masakara.....shenzy zake....nakuomba mkuu ukimkamata mkate vibao kwa niaba yangu....nina hasira nae sana.......
hapa unasema umefeli form four na kila unachosoma unafeli sasa tuamini nini
wewe dada ni muongo sana hapa unasema una diploma in journalism
hapa unajitambulisha kama lesbian
sasa tutaaminije stori hii kama sio chai kama ajisemeavyo BADILI TABIA ??
mamaafacebook leo MO11 kamuumbua mtu muongo ambaye ameshindwa kukumbuka before aliandka nn thnx MO11Ahhhha i love u honey mabus mengimengi kwako umejua kumuumbua mtu kama Tyta
hapa unasema umefeli form four na kila unachosoma unafeli sasa tuamini nini
wewe dada ni muongo sana hapa unasema una diploma in journalism
hapa unajitambulisha kama lesbian
sasa tutaaminije stori hii kama sio chai kama ajisemeavyo BADILI TABIA ??
yaani huyu dada ni mpuuuuuzi sana
hakaeleweki,katakaua katapeli haka
Apigwe ban tu......
Una mana gani
Anamaanisha kusex na kivulana ambacho bado hakijajitambua
Unamjibia kama nan mjukuu
ulishika mimba ili iweje ?