Fabian leonard Member Joined Feb 7, 2013 Posts 43 Reaction score 3 Aug 31, 2013 #1 Sijui twa elekea wapi nimeshuhudia kwa macho yangu viongozi wa vyama tofauti wakilushiana maneno machafu badala ya kupatana ili kuunganisha wafuasi wao kuheshimiana na kusaidiana jamani kheee! Kabda.
Sijui twa elekea wapi nimeshuhudia kwa macho yangu viongozi wa vyama tofauti wakilushiana maneno machafu badala ya kupatana ili kuunganisha wafuasi wao kuheshimiana na kusaidiana jamani kheee! Kabda.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,926 Aug 31, 2013 #3 Eti News alert.......mweh!
jerrytz JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5,990 Reaction score 4,356 Aug 31, 2013 #4 "Viongozi wa vyama"?! Vyama vya siasa, vyama vya wafanyakazi au vyam vya ushirika?!
chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,221 Aug 31, 2013 #5 wangetwangana tu piga..piga.. uyo!!
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Aug 31, 2013 #6 mkuu unakua upo jukwaa gani?
F Flammable JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 872 Reaction score 104 Sep 1, 2013 #7 Umekosea jukwaa
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Sep 1, 2013 #8 Hajakose. Hii habari sio siasa. I.ekaa kiutani kama sio kiudaku. Flammable said: Umekosea jukwaa Click to expand... utafiti said: mkuu unakua upo jukwaa gani? Click to expand...
Hajakose. Hii habari sio siasa. I.ekaa kiutani kama sio kiudaku. Flammable said: Umekosea jukwaa Click to expand... utafiti said: mkuu unakua upo jukwaa gani? Click to expand...