Sijui,labda wewe. . . . . .

gfsonwin nimekuambia hakuna Mungu anachohitaji kwa mwanadamu.Akihitati anakua sio Mungu,uhitaji sio sifa ya Mungu ni sifa ya binadamu,acha kumfananisha na kumpa Mungu sifa za kibinadamu.Kumwabudu Mungu ni hitaji la mwanadamu sio Mungu.Kumwabudu Mungu ni hitaji la mwanadamu sio Mungu,Mungu hahitaji chochote kutoka kwa mwadamu!

hivi labda niulize ili neno Mugu anataka ama anhtaji haimaanish kwamba amekosa hicho alicho nacho. mfano mbona Mungu anasema leteni zaka kamili........... neno leteni llinaonyesha nini? je tumpelekee wakati hana uhitaji? na vyote hivi si vyake?
 
Zaka ni kwaajili ya wale wanaoifanya kazi yake,anaposema leteni ni kwaajili ya hao.Mpango wa zaka ni kwaajili hiyo na kuendeleza kazi yake!
 
gfsonwin nimekuambia hakuna Mungu anachohitaji kwa mwanadamu.Akihitati anakua sio Mungu,uhitaji sio sifa ya Mungu ni sifa ya binadamu,acha kumfananisha na kumpa Mungu sifa za kibinadamu.Kumwabudu Mungu ni hitaji la mwanadamu sio Mungu.Kumwabudu Mungu ni hitaji la mwanadamu sio Mungu,Mungu hahitaji chochote kutoka kwa mwadamu!

uhitaji wa Mungu kwetu si kama wa kibinadamu.Mungu huitaji ili tutimize sheria zake and to him beneficiary hapa bado anabaki kuwa binadamu. Anaposema atukuzwe na asifiwe haina maana kwamba anawasiwasi na ukuu na Uuungu wake hapana ila anataka sisi tutimize ile amri ya kwamba ' Mimi ndimi Bwana Mungu wako usiwe na miungu mingne ila mimi" maana yake ni kwamba imetupasa kumwogopa na kumuheshimu Mungu kuliko vitu vyote.

sasa ufikiri yeye yu afaidika nini na kutokumuheshimu ama kumuheshimu?Mungu hana akipatacho kama faida ama hasara na ndio maana aliumba na kusodomisha, na akaumba tena na kugharikisha lakin bado kwakua yeye ni mwingi wa huruma na rehema na na mwaminifu alisema hata angamiza tena kwa moto wala kwa maji. na ndio maana alimtoa mwanae Yesu Kristo ili awe dhabihu ya haki kwa wale wenye mwili. Wafikiri angekuwa na hasara kama asingemtoa kristo?

Ukweli ni kwamba asingekuwa nayo ila tu alitaka bado sisi tuendelee kumtukuza na kukiri kweli hakuna Mungu kama yeye.Na ndivyo ilivyo duniani mwote hakuna Mungu kama yeye ambaye alisha tujua toka tumboni mwa mama zetu kabla hatujazaliwa. Na mpaka leo majina yetu kayaandika katika kitanga cha mikono yake. na tena anatulinda kama mtu alindavyo mboni ya jicho lake.

mpenzi mdogo wangu naona nimehubiri sana kwako hadi nafikiri nimechukua nafasi ya mchungaji wako/ padri. naomba nimalizie kwa kusema maneno haya
' mpenzi naomba ufananikiwe katika mambo yako yote na kuwa na afya yako kama nafsi yako ifanikiwavyo" Mungu na akutumie msaada toka patakatifu pake na jina la Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo likuinue. Amen.
 
Zaka ni kwaajili ya wale wanaoifanya kazi yake,anaposema leteni ni kwaajili ya hao.Mpango wa zaka ni kwaajili hiyo na kuendeleza kazi yake!

kwani Mngu kama alijua kwamba ni ya wale watu wa kanisa kwanini aliiweka kuwa ni lazima? kwani yeye inamuaongezea nini ama kumpunguzia? Kikubwa ambacho yeye MuNGU ANAFURAHIA NI ZILE SIFA NA SHUKURANI ANAZORUDISHIWA WEWE UNAPOTOA NA AMEYANENA HAYA WAZI KATIKA KITABU CHA WAKORINTO.
 
kwa kifupi tu

Tumezaliwa, Tunaishi na Kufa..
ni mzunguko tu ..

lakini unachofanya maishani ndicho kinacho hesabika.

ni kama vile mbugani. (mfano tu )
simba anaua swala ili ashibe , baada ya kula ana kunya ili majani ya ote na
swala apate kula ili naye simba ale.

kawaida kabisa..
 
kwani Mngu kama alijua kwamba ni ya wale watu wa kanisa kwanini aliiweka kuwa ni lazima? kwani yeye inamuaongezea nini ama kumpunguzia? Kikubwa ambacho yeye MuNGU ANAFURAHIA NI ZILE SIFA NA SHUKURANI ANAZORUDISHIWA WEWE UNAPOTOA NA AMEYANENA HAYA WAZI KATIKA KITABU CHA WAKORINTO.

Aliweka lazima kwa sababu ziweze kuwawezesha watu wanaoifanya kazi yake wala si zaidi ya hapo.Mungu ni furaha,hahitaji wewe ufanye chochote ili afurahi.Injili inapoenezwa na watu wakasikia ni kwa faida yao!
 
AD,hiyo sababu yako ni nyepesi sana.Majibu rahisi kwa maswali magumu!
 
gfsonwin Mungu akishakuwa ANAHITAJI huyo sio Mungu.UHITAJI ni sifa ya mwanadamu.Mistari uliyotolea mfano ni Daudi aliagiza na kushauri watu wamwimbie Mungu kwa sababu kuna faida kwenye sifa.Faida hiyo ni ya anaesiefu,faida yenyewe ni kuwa kwenye sifa uwepo wa Mungu unakua mwingi hivyo kurahisisha mawasiliano yako na Mungu.Mungu hafaidiki na sifa hizo bali wewe unaesifu ndo unafaidika.Sifa ni kwa ajili ya mwanadamu.Wewe hata kama usingekuwepo usingepunguza chochote na uwepo wako hauongezi chochote.Dada yangu mpenzi gfsonwin,sihitaji padri wala mchungaji anihubirie natumia akili yangu tu!
 
Last edited by a moderator:
Kwa imani yangu mimi tumezalia ili tuje kuabudu...(wamaa khalakna jinna wal insan ila liyaabudun)
 
cate hivi wafikiri kuaza haya ni vibaya na si kukupa wewe changamoto ya kwanini ukawepo duniani? nafkiri ni swali ambalo kila mmoj wetu anapaswa kulifikira kwa umakini sana na isiwe eti ni kwasababu utakufa nbali iwe ni kwasababu unataka kupafanya dunian mahali pazuri pa kuish wewe na vizazi vijavyo

tatizo gfsonwin mambo haya huwa hayana jibu moja. Kila mtu huwa na mtazamo wake. Hata eiyer atakuwa na jibu lake kichwani na ndio maana nikasema bora tu utende wema duniani, tukitaka kujua kilichokuleta hapa sidhani kama tutaweza.
 
Last edited by a moderator:
Kuna maswali mengine hayana majibu ambayo binadamu kama binaadamu ataridhika nayo. Eg:- Kila kitu kina mwanzo si ndio? Je Mungu alitokea wapi mpaka akaumba Dunia na kila kitu? Nguvu za kuumba alipewa na nani? Unajua sisi binaadamu elimu yetu ni ile ambayo Mungu ametaka tujue kwa kutufunulia kwenye vitabu vyake. Utasikia kuna mtu anasema kulikuwa na giza nene alafu mungu akatokea, Hilo giza liliumbwa na nani na huko alikotokea mungu kulitengenezwa na nani? Huwezi jua kila kitu kama mungu hakutaka ujue. We hear and we obey.
 
tatizo gfsonwin mambo haya huwa hayana jibu moja. Kila mtu huwa na mtazamo wake. Hata eiyer atakuwa na jibu lake kichwani na ndio maana nikasema bora tu utende wema duniani, tukitaka kujua kilichokuleta hapa sidhani kama tutaweza.

Sasa tutajikuta tunafanya yale ambayo hatukutakiwa kufanya?
 
Last edited by a moderator:
Sasa tutajikuta tunafanya yale ambayo hatukutakiwa kufanya?

mbona ndivyo ilivyo Eiyer roho i radhi bali mwili ni dhaifu? tunaishi ili tuishi basi focus inategemea na serikali yako( kichwa chako) imekupangia nini
 
Last edited by a moderator:
mbona ndivyo ilivyo Eiyer roho i radhi bali mwili ni dhaifu? tunaishi ili tuishi basi focus inategemea na serikali yako( kichwa chako) imekupangia nini

Maswali magumu yanahitaji majibu makini!Sio majibu mepesi kwenye maswali magumu!
 
Last edited by a moderator:
Maswali magumu yanahitaji majibu makini!Sio majibu mepesi kwenye maswali magumu!

sasa kumbe jibu unalo sasa kwanini tunaumiza vichwa kwa kitu ambacho we cant even think the answer? majibu kila mtu anatoa kulingana na uwezo wake wa kupambanua mambo so sisi hatuja meet your criteria which ma self i like that but tell us the answer. hatufanyi UE kumbuka
 
Back
Top Bottom