Sijui kwanini nampenda sana japo amenisaliti na kuniumiza mara nyingi

Kweli Luv Does'nt ask why as long as unampenda haina tatizo.......Ona wenzenu wamefunga ndo jana jumamosi.
Harusi.jpg
 
Piga chini utapata mwenzako atakayekujali asikubabaishe hata km Dushelelee yake over size
 
Ni boyfriend wangu ambaye nimedumu naye kwa muda mrefu,amenisaliti mara kibao na tunaachana akija kuniomba msamaha,Hata kama nina hasira kiasi gani najikuta nimemkumbatia na kumsamehe kbs.Sijui kwanini hali hii hunitokea

Kutamka neno nakupenda ni zito sana, ndio maana maswala ya mapenzi meng hayana majibu.
Lakini pia kukusaliti kwake inawezekana kuwa una tabia ambazo hazipend mwenza wako (simaanish una tabia mbaya) na yeye inawezekana hawez kukwambia.
Jaribu kukaa nae zungumzen, mwisho mtapata ufumbuzi. Mazungumzo ni nyenzo ya mapatano katika uhusiano
 
Ni boyfriend wangu ambaye nimedumu naye kwa muda mrefu,amenisaliti mara kibao na tunaachana akija kuniomba msamaha,Hata kama nina hasira kiasi gani najikuta nimemkumbatia na kumsamehe kbs.Sijui kwanini hali hii hunitokea

Unampenda kuliko akupendavyo,
haupo tayari kuanza mahusiano mengine,
kuna uwezekana ni wa kwanza kwako.
 
Usijichanganye.

Kupenda ni kupenda, Kusalitiwa ni kusalitiwa, na kuumizwa ni kuumizwa.

Swali unalopaswa kujiuliza ni je; " UNAMUAMINI? (Trust!)"
 
Ni boyfriend wangu ambaye nimedumu naye kwa muda mrefu,amenisaliti mara kibao na tunaachana akija kuniomba msamaha,Hata kama nina hasira kiasi gani najikuta nimemkumbatia na kumsamehe kbs.Sijui kwanini hali hii hunitokea

Kumsamehe ni jambo la busara kabisa. Kama unataka kuendelea nae kimahusiano/kingono, hakikisha siku hiyo hiyo anapima halafu kuanzia hapo mtumie kinga.

Ila usiwe tegemezi sana. Tafuta anayekupenda kiukweli, ambaye atakuheshimu na kukulinda.
 
dada amka vyema huu si wakat wa kuteseka na wasiojua dhaman ya penz tena kuna haja kwenye katiba mpya kuwekwa kipengele kitakacho gusia watesaj wa mapenz jamaan hili ni tatizo kubwa ashauriwe vyema huyu member
 
Huna akili wewe Wanawake wenyewe ndo hao maji kikombe kimoja tu tayari na wamejaa mjini tena nahisi ni wazuri kushinda hata huyo uliye nae-kwa kukusaidia jiunge na mapenzi kwenda number 15346 kama ww ni mteja wa vodacom;;ila ple sana kwa ujinga wako huo na usirudie kulete upuuuzi kama huo humu ndani:disapointed:
 
Anakupiga sound mpaka unamwita bebi????Au ndio yeye alikata utepe? Endelea kuegemea mlango wa jela...........
 
Back
Top Bottom