Sijui kwanini huwa simuelewi Vanessa Mdee?

Yeye na mwenzake wote wanahangaika tu....bora waache
 
mie anavyovaa ndio simuelewi,nyimbo anajua kuimba ila tangia atoe ile ya nobody like you sidhani kama kuna hits nyingine kutoka kwake..
ile ilikuwa ni viwango vikubwa mnoo .. but chorus idea ile ni sample ameiga toka kwenye wimbo mmoja wa zamani sana .. msanii aliyeimba nimemsahau jina lakini uki search you tube unaikuta
 
Vanessa ana hit song moja tu ..Hawajui
Humu wengi ni bendera fuata upepo na maboya ndiyo wanamsifia sababu ya promo zake ...ukiwauliza wataje nyimbo kali za huyu demu halafu wamlinganishe na hao wengine wanabwabwaja tuuu...
 
Vanessa ni promo tuu na kuuza ngada .... ndo vinamweka mjin, ila hamna anachokifanya kwenye mziki....bora ahamie kwenye uanamitindo....kichwa ni Maua sama..kinakosa proper management
....Umesema kweli 100%......anajipigia debe sana huyu demu lakini ukiwauliza wanaomshabikia ni nyimbo gani kali ukilinganisha na mademu wengine , hawana majibu
 
Najua baadhi ya mademu wengi hapa Tz hawampendi vanessa coz ana swagger za mbele ...na wengi wao umri umeenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…