suzy daniel
Member
- Mar 12, 2014
- 57
- 10
jamani mwenzenu sijui kureplay, coment pia nashindwa kujua kama post yangu imejibiwa au laa hata kuipata post niliotuma nishida. Naomba mnifundishe.
HARUFU unataka umfanyie ukaguzi nini?Suzy
Wewe ke au me?
kama umeweza kutoa thread umeshindwaje kucomment rafiki?
hebu nenda kadownload app ya jf kuleeeeee
hata mimi cna hiyo app.Ninaipataje
jamani mwenzenu sijui kureplay, coment pia nashindwa kujua kama post yangu imejibiwa au laa hata kuipata post niliotuma nishida. Naomba mnifundishe.
utajua tu kuchat
Mfundishe sasa..
mfundishe wewe...........
majangaMumfundishe na jinsi ya kupata BAN.. 🙄 ni mtazamo tu..