M mrtanzania JF-Expert Member Joined Jul 12, 2016 Posts 219 Reaction score 126 Oct 19, 2016 #21 Yaani kuongea unajua ila kuandika hujui? Duh kazi ipo maana nahisi hapo kuna tatizo huenda composition mwalimu wako anapata shida sana. Bext way tafuta mwenzio anajua lugha p+ kuandika then atakuwa anaongea we unaandika.
Yaani kuongea unajua ila kuandika hujui? Duh kazi ipo maana nahisi hapo kuna tatizo huenda composition mwalimu wako anapata shida sana. Bext way tafuta mwenzio anajua lugha p+ kuandika then atakuwa anaongea we unaandika.
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,202 Reaction score 15,232 Oct 19, 2016 #22 Njoo mimi nitakufundisha.
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,657 Reaction score 8,589 Oct 19, 2016 #23 hebu weka namba yako nikufundishe vyema kuanzia aina za maneno na kuendelea