Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

Kwanini usitulie kwanza ukapata hela na maisha yako kusimama vyema, huoni inakupa uhuru hata wa kuwa na mwanaume yeyote utaempenda hata akiwa na hali ya chini
Kipindi hicho wala sikuwaga na mandoto makubwa makubwa [emoji3][emoji3] nilikuwa naamini mtu ukiwa na hela ya kubadilisha mboga inatosha zingine mnaendelea kutafuta taratibu
 
Kwa sababu umeamua kujiaminisha hivyo hakuna neno. Trust me, binadamu tunatofautiana sana kwenye lifestyle zetu hata ukikataa iko kivyo. Nikikuambia hata huyo ninayemsema tuliishia kwenye kukiss najua utabisha, sitakulazimisha
Dah, mama kiss? Like only kiss bebe? There mus b Glory of God that lays upon you. Sina la kupinga mpenzi im fine with that one 😂
 
Kipindi hicho wala sikuwaga na mandoto makubwa makubwa [emoji3][emoji3] nilikuwa naamini mtu ukiwa na hela ya kubadilisha mboga inatosha zingine mnaendelea kutafuta taratibu
Ndoto kubwa zitakutia stress tu hasa katika nchi ambayo tunategemea wizi ndio tutusue ama kuuza unga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huna la kupinga ila umemalizia na kicheko. Kama nilivyosema awali, sitakulazimisha
😂😂😂 kuanzia leo ntakuita kukiss...i love that one complements you well
 
Ndoto kubwa zitakutia stress tu hasa katika nchi ambayo tunategemea wizi ndio tutusue ama kuuza unga.
Aisee nimeona hilo, ukitafuta hela kihalali nchi hii unachelewa sana kutoboa. Sisemi waliotoboa wote wana mambo ya chini ya carpet....najua wapo wanaotoboa kihalali ila ni kwa tabu sana
 
Kwa jinsi nilivyo na huruma ,sijawahi kumkataa mwanamke,msikilize anasemaje halafu amua,
 
Aisee nimeona hilo, ukitafuta hela kihalali nchi hii unachelewa sana kutoboa. Sisemi waliotoboa wote wana mambo ya chini ya carpet....najua wapo wanaotoboa kihalali ila ni kwa tabu sana
Yeah ukitaka u win kihalali lazma uwe na mtaji mkubwa sana. Shits so hard for begginers.
 
Unajitahidi katika kuitetea jinsia ya kike hongera sana mkuu
 
Ila mwanaume msaliti ni dawa siyo?
Mwanaume msaliti nae pia hafai. Kwenye mahusiano lazma muwe na lengo moja na focus iende sambamba na lengo lenu. Kama azma ni kuoana haipendezi mmoja kuwa selfish
 
Akili kumkichwa mkuu usipokuwa makini utatoka na fikra negative haswa
 
Ukumbuke pia sio wote tunaotupa lawama. Thats very personal kuna ambao wanabeza ila sio wanaume wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…