Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
921
Reaction score
2,243
Nakumbuka tuliachana alipogundua kuwa yale malengo niliyomuahidi kabla mzee Magu hajaingia madarakani hayatatimia

Maana of course wahitimu wengi tumejaa mtaani huku wengi wakiwa wamekata tamaa ya maisha!!

Sikuwa na kazi, nilivurugwa...!!na still girl ananiuliza "Lini utakuwa na kwako P?"....kichwa ndo kikazidi kuniuma...!!

Then akaanza kubadilika...text hazijibiwi kwa wakati....yupo busy na kazi za nyumbani akisema ameenda kukinga maji hapo atakaa masaa 7!!

Nikasoma mchezo kuwa sitakiwi tena na kuna mtu anamkeep busy....!!bila shari nikabreak up(japo still alidai ananipenda)

Iliniuma mno kuachana nae but ilinibidi...!!hapo ndio safari ya kutafuta maisha nikiwa single ilipoanza...!!nilitumia funzo na kiburi alichowahi kunionesha kama motisha kupambana na maisha

Iliniuma pia resources na muda niliopoteza kwake coz n ngumu kusahau mtu alokuachia mengi ya kukumbukwa..Kila nikiona mvua nakumbuka nilivyoloa mwili mzima stendi kumkinga yeye asiloe

Iloniuma kutumiwa hivyo nikaahidi kutafuta pesa kwa udi na uvumba nijenge maisha lkn pia niliahidi kutoamini hawa viumbe kamwe

Nimetafuta pesa kwa nguvu zote bila kupumzika, sina weekend wala out...!!

Namshukuru Mungu now nina biashara yangu na pia nimepanga chumba na vitu ndan vinajaa na still bado vitajaa

TATIZO LINAANZIA HAPA

Ameanza kutuma text...!!na huwa sijibu, huwa anatuma text nisipomjibu atakaa wiki au hata mwezi au miezi lkn atatuma tena message

Niliamua kufuta kabisa connection nae...!!coz najua lazima atajifunza kitu akikutana na mbwa mwitu wa kuonja onja...!!

Just nilihitaji kushare experience na ushauri pia

Kama ex wako anataka kurudi jua huko alikoenda wamemfunza kitu na sio kama amerudi kwakuwa anakupenda.

Na kwakuwa anakuweza...!!na pia labda na kwa kuwa amesikia hatua ulopiga so ndo amerudi akuangushe tena

Na ukiona umeachana na mtu na mambo yakakunyookea, jua umeanza hatua ya kwanza kuelekea mafanikio.

Morning
 
Wanawake wengi hawanaga uvumilivu kwenye swala la mafanikio wengi wao wanapenda akuone unayo mafanikio lakin wengi hawapo tayari kukuvumilia na kukusubiria kipind unayatafuta mafanikio na kujenga maisha pa1, mwisho wa siku wanajutia wenyew ..
WENGI WANAPENDA KUJIFUNZA BAADA YA KUKOSEA NA KUJUTIA WAKATI UWEZO WA KUIZUIA HIYO HALI
WANAO
 
Nakumbuka tuliachana alipogundua kuwa yale malengo nlomuahidi kabla mzee magu hajaingia madarakan hayatatimia
Maana of course wahitim weng tumejaa mtaan huku wengi wakiwa wamekata tamaa ya maisha!!
Sikuwa na kazi....nilivurugwa...!!na still girl ananiuliza "Lini utakuw na kwako P?"....kichwa ndo kkazidi kuniuma...!!
Then akaanza kubadilika...text hazijibiwi kwa wakati....yupo busy na kazi za nyumban...akisema ameenda kukinga maji hapo atakaa masaa 7!!...Nkasoma mchezo kuwa sitakiwi tena na kuna mtu anamkeep busy....!!bila shari nkabreak up(japo still alidai ananipenda)
Iliniuma mno kuachana nae but ilinibidi...!!hapo nd safari ya kutafuta maisha nikiwa single ilipoanza...!!nilitumia funzo na kiburi alichowah kunionyesha kama motisha kupambana na maisha
Iliniuma pia resources na mda nlopoteza kwake coz n ngum kusahau mtu alokuachia mengi ya kukumbukwa....kila nkiona mvua nakumbuka nlvoloa mwil mzima stendi kumkinga yeye asiloe
Iloniuma kutumiwa hvyo nkaahidi kutafuta pesa kwa udi na uvumba....nijenge maisha lkn pia nliahd kutoamin hawa viumbe kamwe
Nimetafuta pesa kwa nguvu zote bila kupumzika....sina weekend wala out...!!Namshukuru Mungu now nna biashara yangu...na pia nmepanga chumba na vitu ndan vnajaa na still bdo vitajaa
TATIZO LINAANZIA HAPA
Ameanza kutuma text...!!na hua cjawah kujibu...hua anatuma text...nisipomjibu atakaa wiki au ht mwezi au miezi lkn atatuma tena message
Niliamua kufuta kabsa connection nae...!!coz najua lazima atajifunza kitu akikutana na mbwamwitu wa kuonja onja...!!
Just nilihtaji kushare experience!!..na ushauri pia
Kama ex wako anataka kurudi jua huko alikoenda wamemfunza kitu...na co km amerudi kwakuwa anakupenda....n kwakuwa ANAKUWEZA...!!na pia labda n kwakuw amesikia hatua ulopiga so ndo merudi akuangushe tena
Na ukiona umeachana na mtu na mambo yakakunyookea.....jua umeanza hatua ya kwanza kuelekea mafanikio....
Morning
😀😀😀 piga xhini hiyooo awa viumbee wakituachagaaa upande mwingine inakaaa POA maana unakuwa na uchunguuu wakutafuta life ukikaa nao unakuwa ndezi ni mapepo ya ufilisii hawaaa😂😂😂😂
 
Huwa ktk haya mambo mnakuwa na negativity nyingi sijui kwanini
Hebu tuambie ungekuwa wewe ndio huyo binti ungefanya nini?

Amekupa motivation ya kupambana zaidi, kuna watu unapokuwa laini kwake anabweteka badala ya kupambana. Amekuwa mgumu ukapata akili ukapambana hadi sasa unayaona matunda. Kila jambo linatokea kwasababu.

Usimlaumu tu, mshukuru pia. Hayo mengine shauriana na ubongo wako.
 
USIMUAMINI MWANAMKE nilimsikia mlev mmoja nilivokua mdogo but usemi wake nilikuja kuuelewa nilipogonga 27yr yaliyonikuta nilitaman Yule mlevi awe hai na anipe wosia mwingine juu ya Hawa viumbe
Yote ni maneno kuntu ila nimefurahi uliposema ulijifunza "KUTOMWAMINI MWANAMKE."
Ukikutana na wanawake nao watakwambia mwanaume sio wa kumwamini. In general bin- Adam sio wa kumwamini.
.
 
Ni vyema ungemsikiliza labda ana mchongo mwingine kabisa tofauti na fikra zako.

Labda ana ishu nyingine ya kimaisha kaona unafaa. Tuache kukalili.
Hajui nafanya mishe gn...!!hajui chchote...!!so ukweli n kuwa hana mishe...!!nlshwah kujibu text zake....na nmeacha kujibu kwakuwa niliona hana la maana za ya turning back
 
Back
Top Bottom