and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,292
- 39,831
Jilaumu mwenyewe kwasababu kuna uliosoma nao na uliowazidi elimu wanakijua vizuri sana.Pamoja na kupata Shahada ya Chuo Kikuu kwa mkopo toka HESLB bado kiingereza changu kina UKUNGU na ulimi bado mzito ajabu. Napata kigugumizi kikali nikijaribu kuongea kiingereza. Lawama nimtupie nani kati ya hawa?
1. Baba wa Taifa; kwa kuamua kiswahili iwe lugha ya taifa;
2. Mzazi wangu kwa kunipeleka shule za kayumba;
3. Mwalimu wangu wa Shule ya Msingi Muungano;
4. Ama NIJILAUMU mwenyewe kwa kutojibisha kupata maarifa kwa lugha Tajwa? kutwa kusoma migazeti ya udaku kwa kiswahili, na aina ya marafiki nilionao wasio leta changamoto yoyote.
5. Waziri mwenye dhamana!!!
On behalf of myself....kwa hiyo na wewe ni timu BWANA YULE.
SWISSME
Haha...lugha imekuja na mashua hiiOn behalf of myself....
Wewe hata haujui kama kanisa ndio muasisi wa elimu Tanzania and Africa hizo shule za kanisa serikali ilizozitaifisha wakati wa uhuru ndio zilizowafundisha wapigania uhuru hivyo jitafakari utashi wako kuhusu mchango wa kanisa kwenye elimu, afya na maendeleo kwa ujumla.Laumu elimu uliyopata kuanzia Madrassa/Sunday School, Seminari na vyuo vya dini. Huko msisitizo unakuwa utakatifu na historia ya walioleta dini na mashua na kobazi badala ya maarifa na Lugha za kimataifa.
Jilaumu mwenyewe kutozaliwa mamtoni ambapo wanatumia lugha hiyo kama lugha ya taifa...kwa anayezaliwa huko mamtoni hahitaji kujifunza...unakijua tu kama kiswahili ulivyokijua kupitia jamii unayoishi.Pamoja na kupata Shahada ya Chuo Kikuu kwa mkopo toka HESLB bado kiingereza changu kina UKUNGU na ulimi bado mzito ajabu. Napata kigugumizi kikali nikijaribu kuongea kiingereza. Lawama nimtupie nani kati ya hawa?
1. Baba wa Taifa; kwa kuamua kiswahili iwe lugha ya taifa;
2. Mzazi wangu kwa kunipeleka shule za kayumba;
3. Mwalimu wangu wa Shule ya Msingi Muungano;
4. Ama NIJILAUMU mwenyewe kwa kutojibisha kupata maarifa kwa lugha Tajwa? kutwa kusoma migazeti ya udaku kwa kiswahili, na aina ya marafiki nilionao wasio leta changamoto yoyote.
5. Waziri mwenye dhamana!!!
rais hakukosea hapo,maana yake ni kwa sababu hata yeye "hayupo" cuba ndo maana kasema kwa niaba yake na watu wakeOn behalf of myself....
Na wewe utakua wa chato sio bure!rais hakukosea hapo,maana yake ni kwa sababu hata yeye "hayupo" cuba ndo maana kasema kwa niaba yake na watu wake