Sijui kama siku hizi zipo!

Sijui kama siku hizi zipo!

awuyegani

Senior Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
147
Reaction score
35
1. Kung'olewa jino kwa uzi na kutupwa juu ya bati ili liote lingine
2. ubwabwa kupikwa siku za jumapili tu
3. Kidonda kutibiwa na unga vidonge
4. ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
5. Kunyolewa na mkasi
6. kufunga pesa kwenye leso au pindo la khanga
7. Kwenda kuangalia sinema za ukimwi na lishe sokoni
8. Kurewind kanda kwa pen
9. Ndala kuchemshwa ili zisiishe
10. Kucheza umeshikilia kaptula sababu lastic imeisha
11. kuchonga penseli kwa meno
12. kukata ndala eti ufutio
13. kunyolewa msalaba shuleni kisa nywele ndefu

Endelea................
 
Kumnusisha mwenzio mkono kuashia ajue leo mmekula chakula gani...kisha kuumuliza..: eti kwenu mmekula chakula gani.!?..utoto kweli mzigo...by $!na habar!
 
1. Kung'olewa jino kwa uzi na kutupwa juu ya bati ili liote lingine
2. ubwabwa kupikwa siku za jumapili tu
3. Kidonda kutibiwa na unga vidonge
4. ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
5. Kunyolewa na mkasi
6. kufunga pesa kwenye leso au pindo la khanga
7. Kwenda kuangalia sinema za ukimwi na lishe sokoni
8. Kurewind kanda kwa pen
9. Ndala kuchemshwa ili zisiishe
10. Kucheza umeshikilia kaptula sababu lastic imeisha
11. kuchonga penseli kwa meno
12. kukata ndala eti ufutio
13. kunyolewa msalaba shuleni kisa nywele ndefu

Endelea................

unaambiwa toa kamas we unaramba. . . . . .
 
Kuomba mwenzio akukatie askrimu anayokula naomba naomba wewe nikatie kidogo heeee jamani utoto kazi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
1. ukiwa na chupi mpya wakati wa kucheza rede lazima ujifunue ili waione.
2. mkisikia kijambo basi mnaanza kuimba ana ana anado kajamba...... ili mjue ninani.
3. Kidali po
 
1. ukiwa na chupi mpya wakati wa kucheza rede lazima ujifunue ili waione.
2. mkisikia kijambo basi mnaanza kuimba ana ana anado kajamba...... ili mjue ninani.
3. Kidali po
Nimeikubali xana hii kwi kwi kwi
 
kupanga foleni kupiga simu kwa kutumia phone card kwenye vibanda vya ttcl
 
Kwenda haja kubwa halafu ukisha maliza huchambi kwa sababu utachamba jioni wakati wa kuoga!!
 
Kuchonganisha wenzako wapigane kwa kukunja kiganja na kumwambia mmoja wao eee nanii choma humu tuone. Akishachoma unamwambia yule mwingine unaona mama yako wamemnanii. Akishasikia na kuona ngumi zinaanza, kama kuna mmoja akipigwa mpaka damu zitoke basi wengine wote mnakimbia kila mtu kwa njia yake. Natamani nirudi enzi hizo.
 
kutishiwa ukikojoa kitandani utafungwa jongoo..
Mkipika nyama hom unahakikisha ukimaliza msosi unatoka na kipande ukidaisha unatafuna ili wenzio wajue mmepika nyama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom