Sijui kama ndoa hii iliendelea?

Sijui kama ndoa hii iliendelea?

Joined
Mar 21, 2012
Posts
20
Reaction score
14
Mumealirudi nyumbani ghafla akamkuta mkewe amelala na kijana mmoja kitandani kwake akamuuliza: " Mamb gan haya mke wangu?" Mke akamjibu "Huyu kijana nlimkuta sokoni anaomba chakula nikamleta hapa nyumbani nikampa kile ulichobakiza asbh hakuwa viatu nikampa vile ambavyo huvai..... nguo zake zimechakaa nikampa ile suti Inayokubana wakat anaondoka akaniuliza "hakuna kingine ambacho mumeo Hatumii?" Ndo nimekuja nae chumbani, nimempa ******, wewe mume wangu si hauutumii?"
 
Kumbe 0713 servce inatolewa lakin jamaa ha2mii tehe tehe tehee!
 
Back
Top Bottom