Sijui kama limewakuta wengine hili

Mtandaoni

Senior Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
134
Reaction score
65
Wapendwa ndg zangu habari!

Jamani mmi naomba kama kuna njia ingine mbadala nisaidieni, Nina account ya fb niliokuwa natumia wakati fulan, ilikuwa kila nikitaka kuingia lazima niingie kwa uthibitisho wa msimbo wa usalama maana niliweka security code.

Bahati mbaya lain ilipotea na Haina uwezekano kuirudisha Kwan kuna wakati ilishasajiliwa kwa jina lingine baada ya mm kukosa namba ya nida.

Hivyo Sasa kwa wakati huu natumia simu ingine kila nikitaka kuingia wanatuma msimbo kwa namba hiyo na Sina namna ya kuzipata code,

Je kuna njia tofauti ninayoweza kuitumia Hadi kuifika account yangu na sikuwa na namba mbadala ya uthibitisho
 
๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฐ๐ž๐ค๐š ๐ž๐ฆ๐š๐ข๐ฅ?
 
Ukipiga hiyo namba inapatikana? Niliwaza ujinga ungelikuja kuibiwa akaunti: nilitaka umpigie umshawishi then akutumie hizo code chapu uweke halafu ikifunguka uondoe hizo namba mara moja kwenye acc. Hapo mchezo umeisha.

Chinguza huyo mtu ni nani na saikolojia yake ikoje usije hakiwa.

Kwisha habari ukimpigia na huwezi kutoa ripoti ifungiwe hiyo namba umeliwa teyari,

mhonge hata hela na ndio madhara ya kutumia viambata ambavyo sivyo vya kwako kwa matumozi yako kwishaaaaa
 
Mi nilishindwa vipengele vyao tu, nilijaribu kutumia option ya bila namba maana email sikuweka enzi hizo

Wakanipa option ya kuchagua marafiki watano (marafiki wenyewe nimechaguliwa) ambao watarequest na kunitumia code maalum ili nifungue akaunti yangu, pamoja na kuwaomba hakuna aliefanya hivyo maana wengine wanahisi kama utapeli๐Ÿคฃ

Lengo lilikuwa moja tu, kufuta picha za kicomedy ambazo enzi nilikuwa najitafuta niliziweka fb, naonaga za kifamba sana๐Ÿคฃ, siku nikiwa maarufu wadwanzi wasizitumie kufanya comedy
 
Ndio email iko
๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ฎ๐ง๐š๐ข๐ค๐ฎ๐ฆ๐›๐ฎ๐ค๐š ๐ฃ๐š๐ซ๐ข๐›๐ฎ ๐œ๐ก๐ž๐ณ๐š ๐ง๐š ๐ž-๐ฆ๐š๐ข๐ฅ ๐ฎ๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐ฐ๐š ๐ง๐ฃ๐จ๐จ ๐ข๐ง๐›๐จ๐ฑ
 
Ukipiga hiyo namba inapatikana? Niliwaza ujinga ungelikuja kuibiwa akaunti: nilitaka umpigie umshawishi then akutumie hizo code chapu uweke halafu ikifunguka uondoe hizo namba mara moja kwenye acc. Hapo mchezo umeisha
Mimi hiyo option nilijaribu pia, hakunielewa kamwe akahisi ndio wale matapeli wa tuma kwenye namba hii nikaona isiwe tabu nisije nikauponza
 
Ukipga inaita tu huwahaipokelewi mkuu, hata ukijaribu kutuma pesa unaambia taarifa za mteja hazijahakikiwa
 
Hiyo namba nikipiga huwa inaiita lkn haipokelewi jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ