Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,008 Reaction score 77,342 Feb 8, 2014 #2 Sir AF kwakweli amestaafu na huku nyuma MU imeyumba sana kiasi cha kuwa wasindikizaji badala ya kuwa wapinzani kama kawaida yao miaka kadhaa iliyopita.
Sir AF kwakweli amestaafu na huku nyuma MU imeyumba sana kiasi cha kuwa wasindikizaji badala ya kuwa wapinzani kama kawaida yao miaka kadhaa iliyopita.
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Feb 8, 2014 #3 Kennedy 5 naona badorten zipo kichwani.FA Cup tunaongeza 3.
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,231 Reaction score 15,644 Feb 8, 2014 #4 Babuuuu,tumekumisi sana hatujazoea maisha haya......
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,008 Reaction score 77,342 Feb 8, 2014 #5 muhomakilo jr said: Babuuuu,tumekumisi sana hatujazoea maisha haya...... Click to expand... Kweli tupu Mkuu hata kocha wa Chelsea alisema kuwa AF anastaafu basi upinzani utapungua kiasi na ni kweli kabisa
muhomakilo jr said: Babuuuu,tumekumisi sana hatujazoea maisha haya...... Click to expand... Kweli tupu Mkuu hata kocha wa Chelsea alisema kuwa AF anastaafu basi upinzani utapungua kiasi na ni kweli kabisa