Sijui kama ananipenda?

kajuna john

Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
73
Reaction score
26
Habari zenu
Nina msichana ambaye tumekutana kwenye mtandao tukaanzisha urafiki na hatimaye mahusiano,

Tatizo ni kwamba wadada wa mitandao wengi wao ni wadanganyifu lkn huyu amekua akipiga simu hata nyakati za usiku sana kuniulizia nipo na nani na kibaya zaidi nilijaribu kumwambia sina imani naye na alidiriki kujaribu kunywa sumu ingawaje walimuwahi na kumpa maziwa.

Na amekuwa akisisitiza kila mara nikijaribu kumuacha atajiua. Sasa sijajua kama anaigiza au laaaaah.
naombeni ushauri tafadhali
 
Hadi hapo ningekua ndio nimekupa mtihani, ningesema umefeli.
Kwa umri huo unapaswa kujua mwanamke mwenye huba na asie na huba na wewe.
asante mkuu lakin tambua ni vigumu kuusoma moyo hasa wa msichana
 
jamani tuache utani make njia zote nimejaribu za kumtega nijue kama anaigiza anakwepa mfano aombbi hela mara kwa mara,lugha yake yaunyenyekevu,na mbaya zaidi juzi alikua anaumwa lkn yeye ndo anapiga simu kunijuza anaendeleaje nashindwa kujua kama anaigiza upendo au amedhamilia..............
 
kuwa makini mkuu pengine anamaanisha nilishawai kuambiwa hivyo na kipenzi changu Aziza nikajua anatania maana karne hii hakunaga mapenzi yakunyweana sumu lakini alikunywa kweli na alifariki njiani kabla ya kufika hosptalini hili tukio sitakaa nilisahau maisha yangu yote sikujua kama ananipenda kiasi hicho...........Aisee nakushauri kuwa makini na sisitiza kuwa makini na uchunguze pengine anakutishia tu usipuuzie hili swala usije ukafanya makosa kama Mimi
 
asante kwa ushauri mkuu
 
Endelea tu kupima upendo wake akikushinda unitag
 
Wonders shall never end! Na atajiua kweli hahahah wadada at work ... Dunia ya sasa bila kuwa kama bongo movie utaangukia pua ...
 
Kama yupo adi mda hui nahic hana nia ya kujiua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…