Sijui Ingekuwa wewe ungefanyaje?

Hivi mtu anaolewa tu mnahamia kwake kama vile mlikuwa hamna makao [emoji21][emoji27].
 
Siku moja ajifanye mjinga, aondoke asubuhi bila kuacha pesa ya matumizi kisha jioni yake asirudi nyumbani, badala yake amjibu amepata udhuru hatorudi ndani ya siku mbili. Naamini akirudi siku ya tatu atawakuta wameshajiset wenyewe.
 
Kwanini usimtafutie mkeo biashara ya kufanya asikae nyumbani, itaepusha kuita ndugu zake kumpa kampani
 
Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchi[emoji134][emoji1751][emoji1787] akienda jikoni uchi[emoji44] waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli[emoji1787][emoji28][emoji119]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Jamaaa anatumia bangi sio mtu wa kawaida
 
Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchi[emoji134][emoji1751][emoji1787] akienda jikoni uchi[emoji44] waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli[emoji1787][emoji28][emoji119]
Mbona umejijibu mkuu
 
Kunywa thoda kwa mangi ntalipa mkuuu....
 
Mama angu anasemaga nyumba haijai... Inajaa roho.. ila kwahili Mimi roho na nyumba zingenijaa
 
Tabia za warangi hizo
 
Matatizo ya kuwa na ID nying unahis umejibu na ID nyingine kumbe umejijibu[emoji16][emoji23]
 
Soln rahisi tu bro
Kwanza Usioneshe kuchukizwa hata kdg wew kua normal ongeza mapenzi kwa mke wako mara dufu ukiwa unatoka acha nusu ya matumizi kwa siku kama ulikua unaacha 15,000tsh sasa acha 7,000 au 6,000 daily mwambie mkeo hali mbaya saivi halaf rudi mapema ikiwezekana pale tu kazi zako zikiisha
Pili ukirud anza michezo yakimahaba pale pale mbele yao kama ni sebleni anza kumtekenya mke wako mkiss n.k nakwambia kama wasipoondoka ni quote hapa nikupe option nyingne
 
Punguza matumizi,inaonekana mkuu unailea vema ndoa yako mpya,unaacha matumizi kiasi wanakula kama hoteli,hivyo hawana sababu ya kurudi kwao maana wapo nchi ya maziwa na asali.Punguza hela,wakiona pagumu watasepa.
 
Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchi[emoji134][emoji1751][emoji1787] akienda jikoni uchi[emoji44] waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli[emoji1787][emoji28][emoji119]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…