Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Ni vizuri umejijua we ni mjinga
Hahahaaaa, pole mkuu kuna mmoja alkula elfu 30 yangu, mwez uliopita kaja dar kanitafuta tuonane ila kazingua kunipa gemu akaniambia atakuja kwa ajili yangu(na ilikua baada ya kufika ofsini kwangu akajua kumbe ela zipo) ila alionekana alitaka tuonane tuu, wiki iliyopita kaja kweli nkampeleka lodge alikaa siku 2, nkamwachia 20 nkamwambia ntarudi asubuh kaniambia wanataka ela yao (sikulalanae nilienda home) nkamwambia wape hiyo 20 nakuja kuanzia hapo nkam'block hadi leo.Muwazima ndugu wenyenchi?
Safari ya simulizi yangu ya kweli ilio ambatana na maombi ya msaada wa fikra zenu inaanzia hapa.
Si zamani bali ni hivi juzi tu, mnamo tarehe 09/08/2015 nikiwa mtumiaji wa mtandao wa fb japo kwa nadra nilikumbuka kuingia fb ili niweze kuona yaliyomo kama yamo.
Nilivo ingia nilikuta kuna notification 83 na watu 7 walio niomba urafiki ambao 3 in ke na 4 ni me, niliwakubalia wote bila ubaguzi. Katika hao ke 3 mmoja akanitumia ujumbe "Mambo" nikamjibu na tukaanza kuchati nae kwa kina.
Alijitambulisha kuwa yupo Tabora, nikamwambia na me nimezaliwa huko nimekulia huko shule pia nimesomea huko hadi secondary.
Akaniambia kuwa yupo bachu na anasoma form three, Awali nilikua nikisikia tu kwa watu na story za hapa na pale kuwa ukimpenda binti aliopo masomoni basi unaweza kuishia kumsomesha tu, hilo Mimi nililiweka kushoto na kukaribisha penzi motomoto kwa njia ya simu.
Tuliendelea hivo hadi alipo maliza form four mwaka 2016 tukiwa katika penzi motomoto LA kwenye simu ambapo tuliahidiana kukutana pale mkoani kwetu Tabora ili kukutana rasmi.
Mambo yakawa si mambo baada ya mwez mmoja sijui alikusudia au laah akawa hapatikani, kiukweli nilipata tabu sana kwa jinsi nilivo kua nimezoeana nae.
Basi niliendelea kuwa mpweke na ndipo nilipo kuwa nikiyakumbuka Yale maneno nilio kuwa nikiyapuuzia nikikumbuka na zile hela nilizo to a chozi linanidondoka, had nikasema soto penda tena wanawake wa mitandaoni na wala sito to a hela yangu hata ya vocha.
Lakini chaajabu hata mwaka haujaisha nilishindwa kumtumia 10,000/= mdada nilie kutana nae WhatsApp , haikuishia hapo mwanzoni mwa mwaka huu nilimtumia mdada 5,000/= nilie kutananae baada ya kuipigia namba yangu ya zamani ambayo nilihitaji nikairudishe.
Hali kadharika Jana kuda Dada mmoja kakosea namba hivo kajilengesha hadi kalenga, huyu yeye yupo nae wilaya moja, hivo jioni hii ameniomba nimtumie vocha nimejizuia lakini nimeshindwa na sijui huu ujinga nitauacha lini.
Sawa mkuuMbona sio ujinga mkuu ila nikusaidiana tu pale unapokua nacho
Nb akil zangu changany nazako japo kidoooogoooo
B dada ww haupo?ngoja waje
Duuh hii kweli sadakakaduga ww tuma tu mkuu usiogope kutoa sadaka
AsanteSamahani lkn.. haujui huo ujinga utaacha lini.. mtenda wa jambo hujivika hilo jambo!.. umetenda ujinga hivyo we ni mjinga! utaacha pale tu utakapoacha ujinga.
Kuhusu msaada wa Mali hapana ila visent kidogo huwa nawasaidia.Je? Ndugu zako pia huwa unawasaidia wanapohitaji msaada wako wa mali.
Tuanzie hapa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] daah hadi vidume mkuuNi mambo ya kawaida sana kusaidiana katika maisha wala sio ujinga kama unavyodhani!! Kama una moyo wa kutoa ni vizuri sana maana umejiwekea hazina huijui kesho yako ila mkuu we ni bonge la JINGA unawasaidia mademu tu
na vocha ya 500Pesa zote ulizotoa kwa madem wote mimi nimetoa kwa mmoja tena kwa mkupuo.
Yani unathubutu kusema umempa dem 10,000 mbele ya wanaume wenzio?
Kumbe huku watoto wengi??!
imebidi nicheke tuMuwazima ndugu wenyenchi?
Safari ya simulizi yangu ya kweli ilio ambatana na maombi ya msaada wa fikra zenu inaanzia hapa.
Si zamani bali ni hivi juzi tu, mnamo tarehe 09/08/2015 nikiwa mtumiaji wa mtandao wa fb japo kwa nadra nilikumbuka kuingia fb ili niweze kuona yaliyomo kama yamo.
Nilivo ingia nilikuta kuna notification 83 na watu 7 walio niomba urafiki ambao 3 in ke na 4 ni me, niliwakubalia wote bila ubaguzi. Katika hao ke 3 mmoja akanitumia ujumbe "Mambo" nikamjibu na tukaanza kuchati nae kwa kina.
Alijitambulisha kuwa yupo Tabora, nikamwambia na me nimezaliwa huko nimekulia huko shule pia nimesomea huko hadi secondary.
Akaniambia kuwa yupo bachu na anasoma form three, Awali nilikua nikisikia tu kwa watu na story za hapa na pale kuwa ukimpenda binti aliopo masomoni basi unaweza kuishia kumsomesha tu, hilo Mimi nililiweka kushoto na kukaribisha penzi motomoto kwa njia ya simu.
Tuliendelea hivo hadi alipo maliza form four mwaka 2016 tukiwa katika penzi motomoto LA kwenye simu ambapo tuliahidiana kukutana pale mkoani kwetu Tabora ili kukutana rasmi.
Mambo yakawa si mambo baada ya mwez mmoja sijui alikusudia au laah akawa hapatikani, kiukweli nilipata tabu sana kwa jinsi nilivo kua nimezoeana nae.
Basi niliendelea kuwa mpweke na ndipo nilipo kuwa nikiyakumbuka Yale maneno nilio kuwa nikiyapuuzia nikikumbuka na zile hela nilizo to a chozi linanidondoka, had nikasema soto penda tena wanawake wa mitandaoni na wala sito to a hela yangu hata ya vocha.
Lakini chaajabu hata mwaka haujaisha nilishindwa kumtumia 10,000/= mdada nilie kutana nae WhatsApp , haikuishia hapo mwanzoni mwa mwaka huu nilimtumia mdada 5,000/= nilie kutananae baada ya kuipigia namba yangu ya zamani ambayo nilihitaji nikairudishe.
Hali kadharika Jana kuda Dada mmoja kakosea namba hivo kajilengesha hadi kalenga, huyu yeye yupo nae wilaya moja, hivo jioni hii ameniomba nimtumie vocha nimejizuia lakini nimeshindwa na sijui huu ujinga nitauacha lini.
kwani siyo hela unataka atoe sh ngap ndo atangazePesa zote ulizotoa kwa madem wote mimi nimetoa kwa mmoja tena kwa mkupuo.
Yani unathubutu kusema umempa dem 10,000 mbele ya wanaume wenzio?
Kumbe huku watoto wengi??!
Mkuu elezea uhusiano uliopo Kati ya ukubwa na kuwa na pesaPesa zote ulizotoa kwa madem wote mimi nimetoa kwa mmoja tena kwa mkupuo.
Yani unathubutu kusema umempa dem 10,000 mbele ya wanaume wenzio?
Kumbe huku watoto wengi??!
Hahahaaaa, pole mkuu kuna mmoja alkula elfu 30 yangu, mwez uliopita kaja dar kanitafuta tuonane ila kazingua kunipa gemu akaniambia atakuja kwa ajili yangu(na ilikua baada ya kufika ofsini kwangu akajua kumbe ela zipo) ila alionekana alitaka tuonane tuu, wiki iliyopita kaja kweli nkampeleka lodge alikaa siku 2, nkamwachia 20 nkamwambia ntarudi asubuh kaniambia wanataka ela yao (sikulalanae nilienda home) nkamwambia wape hiyo 20 nakuja kuanzia hapo nkam'block hadi leo.
Sitaki ujinga mimi.
Mpaka huu utawala ukamalize miaka10 utaacha tuMuwazima ndugu wenyenchi?
Safari ya simulizi yangu ya kweli ilio ambatana na maombi ya msaada wa fikra zenu inaanzia hapa.
Si zamani bali ni hivi juzi tu, mnamo tarehe 09/08/2015 nikiwa mtumiaji wa mtandao wa fb japo kwa nadra nilikumbuka kuingia fb ili niweze kuona yaliyomo kama yamo.
Nilivo ingia nilikuta kuna notification 83 na watu 7 walio niomba urafiki ambao 3 in ke na 4 ni me, niliwakubalia wote bila ubaguzi. Katika hao ke 3 mmoja akanitumia ujumbe "Mambo" nikamjibu na tukaanza kuchati nae kwa kina.
Alijitambulisha kuwa yupo Tabora, nikamwambia na me nimezaliwa huko nimekulia huko shule pia nimesomea huko hadi secondary.
Akaniambia kuwa yupo bachu na anasoma form three, Awali nilikua nikisikia tu kwa watu na story za hapa na pale kuwa ukimpenda binti aliopo masomoni basi unaweza kuishia kumsomesha tu, hilo Mimi nililiweka kushoto na kukaribisha penzi motomoto kwa njia ya simu.
Tuliendelea hivo hadi alipo maliza form four mwaka 2016 tukiwa katika penzi motomoto LA kwenye simu ambapo tuliahidiana kukutana pale mkoani kwetu Tabora ili kukutana rasmi.
Mambo yakawa si mambo baada ya mwez mmoja sijui alikusudia au laah akawa hapatikani, kiukweli nilipata tabu sana kwa jinsi nilivo kua nimezoeana nae.
Basi niliendelea kuwa mpweke na ndipo nilipo kuwa nikiyakumbuka Yale maneno nilio kuwa nikiyapuuzia nikikumbuka na zile hela nilizo to a chozi linanidondoka, had nikasema soto penda tena wanawake wa mitandaoni na wala sito to a hela yangu hata ya vocha.
Lakini chaajabu hata mwaka haujaisha nilishindwa kumtumia 10,000/= mdada nilie kutana nae WhatsApp , haikuishia hapo mwanzoni mwa mwaka huu nilimtumia mdada 5,000/= nilie kutananae baada ya kuipigia namba yangu ya zamani ambayo nilihitaji nikairudishe.
Hali kadharika Jana kuda Dada mmoja kakosea namba hivo kajilengesha hadi kalenga, huyu yeye yupo nae wilaya moja, hivo jioni hii ameniomba nimtumie vocha nimejizuia lakini nimeshindwa na sijui huu ujinga nitauacha lini.
Nenda mirembe maana we we sio mzimaMuwazima ndugu wenyenchi?