Sijui huu ni mtego au...?

Kiukweli nilishtuka baada ya kuniambia ni single mother. Binafsi siko interested na singles mother nimeamua kulikubali hilo sababu ya nguvu ya upendo.

Tuliongea mengi hapa kati na niliwahi kumgusia kuwa natamani kufika Tanga na kujionea ukarimu wa watu wa huko pamoja na vivutio vingine vya kiasili lakini si kuweka makazi kabisa huko. Hili la kunitafutia kazi huko ni moja kati ya mambo yaliyonishangaza sana.

Suala la kumuoa hilo liko wazi since nampenda kweli kutoka moyoni lakini si ndoa ya ghafla hivyo.
 
Kama Yuko makorola basi namjua huyoo! Ila watu wa Tanga ndivyo walivyo familia wakikukubali unaweza pewa mpaka houniao,halafu wengi ni wakweli wee nenda tu Kama una Nia ya kweli mtoto ni baraka jomba!
 
Wewe Kama sio Hilo Kabila achana nae kΓ a mbali kabisa na hao watu. Wanawezaje wenyewe kwa wenyewe. Utajuta. Hata vipi kΓ a mbali kabisa hata kama fini yenu ni moja
Kwa nini mkuu? Kabila lina shida gani hapo?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Sasa baby nikwambie kitu Ni kitu Cha kuhuzunika kweli
Juzi nilikuwa naongea na Daktari, anasema hakuna tatizo la Nguvu za Kiume miongoni mwa WaTanzania isipokuwa Meseji ya "Baby Nikwambie Kitu" πŸ€ͺπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Kila kitu ni mipango, sema watanzania tunaishi kikondoo. Ulikuwa umepanga kuoa??? Au umevutiwa mpango ukaanzia hapo
 
Juzi nilikuwa naongea na Daktari, anasema hakuna tatizo la Nguvu za Kiume miongoni mwa WaTanzania isipokuwa Meseji ya "Baby Nikwambie Kitu" πŸ€ͺπŸƒπŸƒπŸƒ
Ndo zinawamaliza nguvu πŸ˜€πŸ˜€
 
Je unamjua vyema zaidi ya kukupikia chakula?

Anaweza asiwe na tabia mbovu..ila kama hamna chemistry hamuwezi dumu.
Namjua kiasi pia nina mawasiliano na ndugu yake wa kike ambaye ni pacha wake anaishi Zanzibar.
 
Maisha ckuiz yapo Kasi Sana wewe endelea kuwa na wasi wasi utakuta bidada kashawahiwa
 
Hakikisha KABURI .. ikiwezekana dai cheti cha kifo. Kama haitoshi kafukue kabisa.

Ukijihakikishia kwamba MWAMBA aliFARIKI kweli kweli.. yaani ORIGINALLY.. basi Unaweza KUWOWA.
Duh! Sawa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…