Sijui huu ni mtego au...?

Hilo ni jini
 
Swala sio kuwahishiwa ni vile anataka nifanye mambo kwa haraka mno. Mfano kwenye swala la kazi mimi ni muajiriwa hapa siwezi ondoka ghafla kienyeji tu.
 
Je unamjua vyema zaidi ya kukupikia chakula?

Anaweza asiwe na tabia mbovu..ila kama hamna chemistry hamuwezi dumu.
 
Mkuu nenda usiogope ukashuhudie mapenzi yalipo zaliwa๐Ÿ˜ƒ
 
Hakikisha KABURI .. ikiwezekana dai cheti cha kifo. Kama haitoshi kafukue kabisa.

Ukijihakikishia kwamba MWAMBA aliFARIKI kweli kweli.. yaani ORIGINALLY.. basi Unaweza KUWOWA.
 
unapajua kwa msisi kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ