Najitahid hadi nalewa ili nichangamshe akili lakin wap yaan nikama nakula mkate mkavu tu..hlf nilivyoona dude kubwa nikaswma yes hapa nimefika ila sasa dah kila akinifanya sioni ladha kabisa
Bora we mpenz ...mwenzio mume wa ndoa.Nilisema nitampendaga hukohuko kumbe ndo nimeshindwa jumla.Siyo kwamba anapesa kama wako ...noo Mimi kinachoshika hapa ni upendo wake tu yaan sijawahi on a upendo kama huu kiukweli
Yaan asante sana we umenielewa nachotaka...walinishauri humu waliowengi ni mazwazwa wamejikita kunionea wivu utadhani gar lao yaani..
Sijui wanahamishaji uzi? Au ni mpaka admin?
Yaan asante sana we umenielewa nachotaka...walinishauri humu waliowengi ni mazwazwa wamejikita kunionea wivu utadhani gar lao yaani..
Sijui wanahamishaji uzi? Au ni mpaka admin?
Kwa urahisi we copy hapa peleka kule ila hapa labda tatizo umeingizia mambo ya kuhongwa gari ndio maana mada imebadilika punguza ego bibie utapata ushauri mzuri kule.