Sijui hata nifanyaje?

Kwani lako? Sirudishi bhana weee kanipa mwenyewe
Samahani usinielewe vibaya ila ni kama umepangishiwa nyumba na boy wako then unaingiza wanaume wengine inaumizaga sana huuo jamaa amaekupenda ndio maana amekupa gari utumie alafu wewe unacheat au vaa viatu vyake... kaachini tafakari na wewe unasema hauna hisia naye za mapenzi

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Growth scale ya mahusiano ya kimapenzi.

1999 Youth.
Maneno matamu ya faraja, ahadi ya kufunga ndoa baada ya uchumba, kuonesha kujali panapo matatizo (Emotional support)

<2000 Youth.
Simu, pesa au gari ndio determinants za mapenzi. Asie na uwezo kuishi kwa uongo na ku black mail mwenzake.
 
Sa ntafanyaje namie starehe nataka na gar nataka
 
Umemaliza kila kitu
 
Umenichekesha..na huyu zoba wangu akijua hii fomula ataniacha walah!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daah wewe dada wamuita zoba kabisaa
Mara paap uyo njemba ndio mimi apa
"Na hii gari sikupi kumbe unanitukana namna hii"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…