Sijui dunia inaenda wapi!

Sijui dunia inaenda wapi!

Hivi wale kina Bushman walikuwa wanavaa kwa kujisitiri..?
Ukisema uchimbe Sana haya maswala ya uvaaji utakuja kujua huko zamani walikuwa wanakaa utako njenje!

Lakini ni kipindi hicho chakuwa hakukuwa na mavazi lkn walijaribu kujistiri na wengine ni culture zao lakini wengine huiga nakuona ndo utandawazi

Kwa asilimia fulani wanaume huchangia wanawake kukaa utupu kwani wanawake kujiachia na kuonesha maungo Yao asilimia kadha ni kwaajili ya kuvutia wanaume kwa maumbo na miongekano yao

Idadi ya wanaume wanao penda maumbo makubwa na wanawake wa kujiachia imezidi sasa na hata vijana wa kitanzania ndo usiulize wanaona ni utandawazi na mwisho wa siku hao wanawake wala hawawaowi

Inaonyesha ni tamaa tu zinakuwa zinapeleka watu sio wadada wala wakaka walio haribikiwa ni wote kiujumla na mtu akioneka kuongelea haya mambo leo Anaonekana mbaya, mshamba, au anafatilia mambo ya watu ni kwel ambao watu hawataki kuuskia...
 
Nataka kusema kukaa uchi ni asili yetu hivyo asishangae sana haya mambo yanaunyama wake na unyama wenyewe ndo kina sisi na sisi ndo wakuyaenzi.

wewe ni kati ya wale watu wanao jua sawa ni ipi ila bado huendelea kupotosha watu

Asante..
 
Lakini ni kipindi hicho chakuwa hakukuwa na mavazi lkn walijaribu kujistiri na wengine ni culture zao lakini wengine huiga nakuona ndo utandawazi

Kwa asilimia fulani wanaume huchangia wanawake kukaa utupu kwani wanawake kujiachia na kuonesha maungo Yao asilimia kadha ni kwaajili ya kuvutia wanaume kwa maumbo na miongekano yao

Idadi ya wanaume wanao penda maumbo makubwa na wanawake wa kujiachia imezidi sasa na hata vijana wa kitanzania ndo usiulize wanaona ni utandawazi na mwisho wa siku hao wanawake wala hawawaowi

Inaonyesha ni tamaa tu zinakuwa zinapeleka watu sio wadada wala wakaka walio haribikiwa ni wote kiujumla na mtu akioneka kuongelea haya mambo leo Anaonekana mbaya, mshamba, au anafatilia mambo ya watu ni kwel ambao watu hawataki kuuskia...
Hehe! Nguo walipata za kuvaa uchi tu mkuu..😂

Mkuu ipo hivi akili ya mwanadamu inamtindo wa uwazaji wake na huo mtindo ndio hugeuka na kuwa Kama tabia!.. wewe sasahivi ukiona upaja wa mwanamke utasema yupo uchi lkn kwa wakati huo haikuwa uchi kwasababu hivi sasa akili zetu zimeumbika kujua hivyo!.

Ujanja wa kujisitiri kwa muafrika upo Leo hii lkn hapo kabla watu waliacha sana nyara za taifa njenje! Fatilia mavazi mengi ya makabila toka ktk asili zao ndo utajua hujui!..
Hoja ya kusema wakati huo hakukuwa na nguo haina mashiko kwa maana walikuwa wakivaa ngozi za wanyama na walikuwa wanakula Sana nyama na kwa nyakati hizo watu hawakuwa wengi kusema ngozi za kujisitiri zilipelea lkn kwenye hiyo ngozi ya ng'ombe mmoja ambayo ingeweza kumsitiri mtu mwili mzima,alikata kipande kidogo tu na kujifunika sehemu za siri!.

Yapo mambo makubwa ya kujadili watu wayaache haya ya kukaa uchi kwa kiasi kikubwa sio tatizo!.. Kuna mambo hatari yanakuja na yanatetewa vibaya mno na mambo hayo ni kinyume na mazingira yetu!.
 
Hehe! Nguo walipata za kuvaa uchi tu mkuu..

Ni mekupata na hayo mambo ni kama yapi kwa mtazamo wako mkuu
 
Nataka kusema kukaa uchi ni asili yetu hivyo asishangae sana haya mambo yanaunyama wake na unyama wenyewe ndo kina sisi na sisi ndo wakuyaenzi.
aaah kukaa uchi ni asili yako peke yako mimi sipo....
Sawa kabla ya nguo kuja wazee wetu walikua uchi uchi.... Lakkni Ustarabu umetufikia na tunajua kua tunatakiwa tujisitiri
 
Lakini ni kipindi hicho chakuwa hakukuwa na mavazi lkn walijaribu kujistiri na wengine ni culture zao lakini wengine huiga nakuona ndo utandawazi

Kwa asilimia fulani wanaume huchangia wanawake kukaa utupu kwani wanawake kujiachia na kuonesha maungo Yao asilimia kadha ni kwaajili ya kuvutia wanaume kwa maumbo na miongekano yao

Idadi ya wanaume wanao penda maumbo makubwa na wanawake wa kujiachia imezidi sasa na hata vijana wa kitanzania ndo usiulize wanaona ni utandawazi na mwisho wa siku hao wanawake wala hawawaowi

Inaonyesha ni tamaa tu zinakuwa zinapeleka watu sio wadada wala wakaka walio haribikiwa ni wote kiujumla na mtu akioneka kuongelea haya mambo leo Anaonekana mbaya, mshamba, au anafatilia mambo ya watu ni kwel ambao watu hawataki kuuskia...
Wanaume tumechangia kama asilimia 5℅ tu hapo... Wanawake wenyewe nao wamechangamka sana miaka hii.
 
Hehe! Nguo walipata za kuvaa uchi tu mkuu..!.

Yapo mambo makubwa ya kujadili watu wayaache haya ya kukaa uchi kwa kiasi kikubwa sio tatizo!.. Kuna mambo hatari yanakuja na yanatetewa vibaya mno na mambo hayo ni kinyume na mazingira yetu!.

Mambo gani hayo???
 
Mito ya maji safi yote imekauka,na sijui inaenda wapi?hili linaendelea dunia nzima sijui munguvanayapeleka ĺp)wapi maji
 
Life is just a viscous cycle. Linalotokea leo lilishawahi kutokea vipindi vya nyuma and will happen and rehappen. Usijipe mawazo saana mkuu we endelea kuifundisha jamii inayokuzunguka maadili mema kwa muda wako wote utakaokuwepo hapo duniani
 
Back
Top Bottom