asanteni kwa ushari wenu. palipo na wengi pana mengi,nimechukua yale yanayonifaa nakuacha yale yasiyofaa.kama binadamu ninayo madhaifu yangu hata kama wengine walishangaa kuona naomba ushari kwa kitu kidogo kama hicho kulingana na elimu yangu.hata hvyo kupitia matumizi ya lugha za wachangiaji nimepata jumbe nadhubuti.asanteni