Sijui alivaaje hiki kijeans

wanajipakaa sabuni kwanza, na au labda mafuta mengi sana.
 
Wakisimama hvyo uwa wananikumbusha cr7 anapotaka kupiga faulo.
 
Hahahaaa, sitaki kuamini kama hiyo picha ni ya ukweli. Labda ni editing.
 
mh! kuna binadamu wana shape za kipekee ati!
 
Wanapaka mlenda lakini lazima awepo msaidizi wa kusaidia kuvuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…