Sijawai kushuhudia CHADEMA iliyichoka kama ya sasa

umekalia kigogo halafu unasema hamna kitu
Tulisha sema mkuu Chadema wa kujalibu kuiombea mabaya,au kufanya mipango ya kuumiza Chama, atatumia na kupotea Yeye

Chadema ichi sio mchezo, hivi watu mbona hawajifunzi , waliokinenea mabaya ,na kutaka kifutike wako wapi? Ndo kwanza wamepotea kisiasa, waliobaki wapo hata nyuso zao hazina furaha, nao ni swala la mda

Unachezaje na Chama ,ambacho watumishi wa mungu, wazee,vijana, mpaka waliomwaga dam , waliopoteza maisha KWA ajili ya Chama roho zao zipo juu ya Chama ichi, mtapoteana,

Alafu bado mtu KWA kua ana madaraka ,anajitutumua kupambana na chadema , vyombo vya DOLA navyo wanajiingiza KWENYE mtego huu, bila kupima madhala Kama watumishi wa umma kwenye Taifa, Kisa kutekeleza matakwa ya wanasiasa, ambao huja na kuondoka, wakati nyie kwenye utumishi mpo mpaka mtakapo staafu KWA mjibu wa sheria za utumishi wa umma

Mnakosea Sana watumishi wa umma kutotanguliza Taifa mbele,


Nchi hii ilikuwa ya wafanyakazi na wakulima ,leo imekuwa ya wanasiasa, na nyie watumishi msiokua wazalendo na Taifa Ndo mmesaidia ubatizaji huo KWA wanasiasa, KWA kushindwa timiza wajibu wenu KWA mjibu wa sheria na taratibu, bali mnatimiza majukum KWA maelekezo ya wanasiasa,

Na Kama ndivyo KWA nini Mungu awape baraka, na kuwa na vipato bora, BIG No mtafanya kazi ila mtakufa maskini
 
Mleta mada ungekuwa na akili (japo za kuku) ningekushauri kitu.
Ila siwezi kufanya hivyo kwani kwa akili hizo hutaelewa hata usomeje!
You better keep quite kuficha upumbavu wako. Nimejaribu kutafuta mada zako nimeona zote ni utopolo mtupu!
Chadema inazidi kuimarika kila uchwao pamoja na ukatili, uovu na uharibifu unaofanywa na ccm kwa kutumia "dola'
 
Mbowe alipomtukana Hayati magufuli kwa kila aina ya matusi nilitarajia hili litakuja na karma haitawaacha
kwani magufuli alikuwa mungu? mbona amekufa ? akafie mbali shetani aliyepora korosho za wakulima kwa kutumia jeshi letu
 
Bora umewaambia. Wabishi lakini ukweli CHADEMA imechoka ile mbaya. Haina uongozi 🤣
Tuombe kuwepo na malumbano ya hoja, ccm ilete watu mahiri 5 na CDM ilete watu wake 5 kisha mjadala uanze tuone wapi kunavuja!
Ila nakuhakikishia kuwa: ccm wenyewe hawatakubali huu mjadala uwepo kwani wanajua hawawezi kupambana kwa hoja na CDM kwa namna yoyote 🤣
 
Tuombe kuwepo na malumbano ya hoja, ccm ilete watu mahiri 5 na CDM ilete watu wake 5 kisha mjadala uanze tuone wapi kunavuja!
Ila nakuhakikishia kuwa: ccm wenyewe hawatakubali huu mjadala uwepo kwani wanajua hawawezi kupambana kwa hoja na CDM kwa namna yoyote 🤣
Ndugu ubora wa chama unapimwa kwa mfumo siyo malumbano ya hoja ya watu 5. Uchovu wa Chademo mojawapo ni hilo, kulumbana na malumbano
 
Back
Top Bottom