Sijawai kujutia kuishi ughaibuni!!!!!

Unasema hakuna mtanzania anafanya kazi nasa

Unajielewa ?
 
Subiri kwanza upitishe angalau miaka kumi na tano.
Na vipi nikiwa na miaka kumi na tano lakn sielewi chochote,maana kuna watu wanaishi tanzania lakini hawajuw mwelekeo wa nchi yao uko wapi
 
Hakikisha kwenda kwako huko unawavuta wanandugu,na marafiki wenye vision,nao wapambane na fursa.
Hayo mengine porojo
Nimekuelewa mkuu.

Ila saivi tunafanya hvyo bado tuko hatua ya kutafuta mashirika ya kutupa support na nina amini tutafanikiwa
 
Subiri kwanza. Umeanza mapema sana.
Si tatizo mkuu.
Watu wapo kwenye biashara miaka mingi lakni wamekosa mafanikio,lakin watu wa majuzi wanpata mafsnikio,akili,mbinu, nk.... n vitu vya kuangalia sio muda
 
Unataka nikujibu nini mkuu
Usijibu chochote ndugu yangu ila ni vizuri ukajifundisha namna ya kuandika maneno basic ya kiswahili. Unajua maandishi aliyoandika mtu yanaelezea mengi kumhusu! Watu wengine wakikutana na uandishi wa ''ngumbaru'' sentensi za mwanzoni huwa hawana muda wa kuendelea au hawaipi story uzito unaotakiwa!
 
Ni vizuri lakin nais kila mtu ana uwezo wake wa kuandika yawezekana wa kwangu umeishia hapo mkuu.
 
Mzee kama umesoma mwaka 1980 kwa sasa inabidi umskilizie tu sir god na kuachana na mitandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…