Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,400
duu kwangu sio hali ya kawaida wengi wetu tunatembea na mihasira kifuani akitokea wakuzingua unamalizana nae hapohapoSisi ni wakawaida tu
Aiseeduu kwangu sio hali ya kawaida wengi wetu tunatembea na mihasira kifuani akitokea wakuzingua unamalizana nae hapohapo
Toa vi sign vya kike ivi dogo..unakuwa ka ndez sijui
Kuna mmoja tunae job akinuna balaa lake sio dogoSiku akinuna mtu wa ivo mvua inanyesha
Tafiti nyingi zinaonyesha tabasamu ni kitu muhimu sana katika maisha ya mwanadam yeyote yule iwekwenye mahusiano ya kimapenzi au kawaida. Kwa mfano, tabasamu huwa ni kichocheo cha kuwavuta wengi kusikiliza au kutambua umuhimu wa mtu anayetoa tabasam hilo.Kuna watu huwa hawajui kununa. We ukimuudhi yeye anacheka tu. anaweza kuwa kwenye hali ngumu ya kutatiza lakini utakuta mtu bado anatabasamu tele usoni.
Hivi watu ni wa kawaida kweli au?
Watoto wa mjini wanasema kufa na tai shingoniNi wachache sana huweza kugundua tabasamu la maumivu!!!