Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

Habari ndugu zangu!

Nimeachana na mtu niliekua nampenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja.

Last week aliniomba tukutane akemi kwa ajili ya Dinner then baada ya hapo ndio akanitamkia haya "trisha mpenzi wangu nimekuwa nikiificha hii siri kwa muda wote huo tukiwa kwenye mahusiano sababu ninakupenda na bado ninakuhitaji ila kiukweli mimi nimeoa ni mume wa mtu na nina mtoto 1 kwa kipindi chote hicho nimekuwa nikijitahidi sana usijue sababu nikihofia kukupoteza " Sasa nmeona sikutendei haki nimeona nikuambie ukweli ili ufanye maamuzi pia kwa upande wako

Baada ya hapo nilikuwa kama nimepigwa shot ya umeme niliondoka sikujibu chochote njiani nikawa nalia sana.... Nikarudi home nikapata nguvu ya kumtumia message "its over between us" baada ya hapo usiku wa saa 8 nilizidiwa sana nikapelekwa Hosp nikalazwa since iyo last week nmekuwa sijielewi mpaka sasa nashindwa hata kula chakula nakunywa vimiminika tu Juice, na maji what even worse hata usingizi ninakosa usiku lazima ninywe dawa za usingiz ndo nilale.

Nimefikia hatua mpaka nachoma sindano za tramadol for the sake of usingiz ndio nilale hata kidogo naumia, najiuliza maswali mengi, najilaumu why me naomba mnisaidie cha kufanya
Relax,Wewe ni mrembo na kama hukuweza kutambua hilo means you are not a bitch which means you are a special woman and the guy did not deserve you ndo maana akakwambia ukweli.MORAL of the story,ITS okay to fall in love even wth wrong people it means you are still a human.May GOD give you strength.
 
Dada si bora umeambiwa ukweli, hadi hapo ni jambo la kushukuru badala ya kuendelea kuumia...

Miaka miwili sio mingi kwamba umepoteza sana muda...
Kwa mwanamke muda ni kitu adimu sanaaa mkuu kwa sisi wanaume miaka hiyo miwili unaweza kuona si kitu ila kwa mwanamke ni gape moja kubwa sanaaa.

Kwa sababu kwanza umri unaenda na yeye anabadilika mwili kwa haraka sana kingine ni malengo aliyojiwekea mwakubwa sana( hasa la kupata katoto ka kike kazuri akavalishe vazi la ki princess halafu akarembe akaringishie marafiki zake) .

Sasa hauoni kuwa malengo yamehama?
 
Habari ndugu zangu!

Nimeachana na mtu niliekua nampenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja.

Last week aliniomba tukutane akemi kwa ajili ya Dinner then baada ya hapo ndio akanitamkia haya "trisha mpenzi wangu nimekuwa nikiificha hii siri kwa muda wote huo tukiwa kwenye mahusiano sababu ninakupenda na bado ninakuhitaji ila kiukweli mimi nimeoa ni mume wa mtu na nina mtoto 1 kwa kipindi chote hicho nimekuwa nikijitahidi sana usijue sababu nikihofia kukupoteza " Sasa nmeona sikutendei haki nimeona nikuambie ukweli ili ufanye maamuzi pia kwa upande wako

Baada ya hapo nilikuwa kama nimepigwa shot ya umeme niliondoka sikujibu chochote njiani nikawa nalia sana.... Nikarudi home nikapata nguvu ya kumtumia message "its over between us" baada ya hapo usiku wa saa 8 nilizidiwa sana nikapelekwa Hosp nikalazwa since iyo last week nmekuwa sijielewi mpaka sasa nashindwa hata kula chakula nakunywa vimiminika tu Juice, na maji what even worse hata usingizi ninakosa usiku lazima ninywe dawa za usingiz ndo nilale.

Nimefikia hatua mpaka nachoma sindano za tramadol for the sake of usingiz ndio nilale hata kidogo naumia, najiuliza maswali mengi, najilaumu why me naomba mnisaidie cha kufanya
Sioni kama kuna shida, maana kama mnapendana, muoane. Uwe mke wa pili.

Ya nini kujinyima, ukaoelewa na mwingine then ukaendelea kuchepuka?

Hata hivyo, kwa miaka miwili umekua mke wa pili, tafakari!
 
Kama ni muslim basi amuoe kama mke wa pili:
Lakini bado sioni sababu ya kuumia hivyo wakati amemwambia ukweli yeye ni mume wa mtu.
Ajipe moyo naye atapata wakel
Itakuwa jamaa mambo safi, dada alishaanza jenga maghorofa ya kufikirika
 
Habari ndugu zangu!

Nimeachana na mtu niliekua nampenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja.

Last week aliniomba tukutane akemi kwa ajili ya Dinner then baada ya hapo ndio akanitamkia haya "trisha mpenzi wangu nimekuwa nikiificha hii siri kwa muda wote huo tukiwa kwenye mahusiano sababu ninakupenda na bado ninakuhitaji ila kiukweli mimi nimeoa ni mume wa mtu na nina mtoto 1 kwa kipindi chote hicho nimekuwa nikijitahidi sana usijue sababu nikihofia kukupoteza " Sasa nmeona sikutendei haki nimeona nikuambie ukweli ili ufanye maamuzi pia kwa upande wako

Baada ya hapo nilikuwa kama nimepigwa shot ya umeme niliondoka sikujibu chochote njiani nikawa nalia sana.... Nikarudi home nikapata nguvu ya kumtumia message "its over between us" baada ya hapo usiku wa saa 8 nilizidiwa sana nikapelekwa Hosp nikalazwa since iyo last week nmekuwa sijielewi mpaka sasa nashindwa hata kula chakula nakunywa vimiminika tu Juice, na maji what even worse hata usingizi ninakosa usiku lazima ninywe dawa za usingiz ndo nilale.

Nimefikia hatua mpaka nachoma sindano za tramadol for the sake of usingiz ndio nilale hata kidogo naumia, najiuliza maswali mengi, najilaumu why me naomba mnisaidie cha kufanya
Tramadol? Ni dawa ya usingizi siku hizi?
 
Pole
Jifunze huyo hujazaliwa nae
Utakufa utaharibu maisha yako kwa ujinga was mapenz
Acha ujinga wewe
 
Dada si bora umeambiwa ukweli, hadi hapo ni jambo la kushukuru badala ya kuendelea kuumia...

Miaka miwili sio mingi kwamba umepoteza sana muda...
Bora umwambie
Hata ingekuwa miaka kumi
Asonge mbele aache ujinga
Mapenzi yakuharibie afya yako
Kwa kipi has a
Asonge mbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom