Sijawahi kutongozwa na mwanamke.

Sijawahi kutongozwa na mwanamke.

Mwanamke.
Utumia ishara na vitendo zaidi kuliko maneno.
Ukingoja akwambie
Utasubiri mpaka yesu arudi.
Mwanamke anayekupenda atapenda Sana ukaribu na wewe na kufurahia uwepo wako.
Ana furaha kila anapokuwa nawe.
Kila kitu ataanza na wewe.hata Kama mpo wengi mmekaa.
Kwa mfano labda simu yake imezingua setting atakuanza wewe kukuomba umtengenezee kabla ya yote. Yaani anakupa kipaumbele na kukujali. N. K
JIONGEZE.
 
Kwani mi shoga,wewe vp? Bila shaka inaonyesha wewe umeshawahi kutongozwa na mwanaume
Usitokwe povu....Heading ya Uzi ndio yatutia mashaka kuwa hujawahi tongozwa na mwanamke ila mwanaume tyr...Pumbavu fikiri kabla ya kutenda
 
Mpaka zama hizi za kutongozwa kupitia whatsapp kwa kutumiwa emoj bado hujatongozwa na mdada?
Angalia unavyojiweka na kitabia na thinking yako mkuu.
 
Mwanamke.
Utumia ishara na vitendo zaidi kuliko maneno.
Ukingoja akwambie
Utasubiri mpaka yesu arudi.
Mwanamke anayekupenda atapenda Sana ukaribu na wewe na kufurahia uwepo wako.
Ana furaha kila anapokuwa nawe.
Kila kitu ataanza na wewe.hata Kama mpo wengi mmekaa.
Kwa mfano labda simu yake imezingua setting atakuanza wewe kukuomba umtengenezee kabla ya yote. Yaani anakupa kipaumbele na kukujali. N. K
JIONGEZE.
Wapo wanaosema live
Utasikia kuna jambo nataka nikwambie flani, natega sikio eheee jambo gani? Ooh unajua mimi it's just i feel kua nawewe, plse be my man[emoji23] [emoji23]

Mbuzi akifia kwa muuza supu ndio heri yenyewe cha msingi awe na sifa tu kama nung'aembe likafie huko sitaki foleni
 
Ni kweli. Ila wachache Sana.
Na Mimi demu Nikijua ananipenda uwa simtongozi. Uwa nakwenda moja kwa moja kwenye mahusiano.
Ukianza habari za kumtongoza. Atakuzungusha.
Mpe ahadi mtoke au AJE geto.
Akikubali kuja. Mwenyewe anajua kitakachotokea. Na hawezi kugoma sababu ameshakukubali.
 
Halafu nyie wazaramo mnakaa Tarime mnatuharibia sifa ya Tarime. Mkurya gani huyu anililia kutongozwa.
 
Back
Top Bottom