Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,889
Mpesa outscores words...
Huitaji kujifunza kupoteza muda bossi, jifunze kuruhusu opt ya "bonyeza 1 kuthibitisha"
Mimi ni mwanaume age 25 nina kazi tu nzuri lakini cha ajabu ata kutongoza bado naogopa wanawake sana.....yaani naweza tetemeka nkikutana nayo
wana MMU naombeni ushauri wenu maana naweza nkazeeka bila kupata mchumba. Nilishawahi fungua uzi wa jinsi ya kutongoza but mlinipa mbinu cha kushangaza practice ni ziro au nina tatizo?
NB: Nina maanisha(serious)