Sijawahi kutoa mwanamke out

kwa nini hujawahi labda tuanzie hapo.
hupendi,huna pesa unatoswa au nini sababu mkuu em funguka basi.................
 
Hata hivo si atoke mwenyewe tu? Labda kwa nyakati za usiku unaweza kumsaidia coz choo chenu kipo mbali.
 
Na wewe ushatolewa na washikaji zako mara ngapi?
 
lina athari kubwa sana, yaani kupita kiasi. hebu mtoe out mwenzio. mambo gani hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…