herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,199
- 1,378
Mshauri jamaa Anawakati mgumuJaribu ovaroli na safety boot na helmet af zama club juu usisahau reflector uone kama madem kibao wanavokufuata na kukuomba ukae nao mana reflector itakufanya ung'ae kinoma.
Miili ya vijana wengi Tanzania ni milegevu unaona mwanaume akiongozana na mwanamke wote wanafanana tu, mwanaume nguo alizovaa suruali yakubana wenyewe huita model mie naita ile ni skin tight tu, na mwanamke naya kavaa skin tight ikitokea shida mwanaume hata kujiokoa hawezi ile skin tight alovaa itamzuia hata kukimbia nk.
Sijajua mleta mada ni nguo zipi unavaa kama zile zakubana aka skin tight kweli zile hazipendezi, ushauri wangu fanya mazoezi simple exercise kuondoa fatique, kula natural food kama viazi yale makaba koo,magimbi, matunda na mbogamboga nk, kunywa maji mengi.
Mazoezi yatakuimarisha sana utakuwa vizuri halafu ukitekeleza nilokuambia tupiamo tena pamba zako utakuja kunishukuru hapa.
Alf atume pichaJaribu kutembea bila nguo tuone utakuwaje
Hizo enzi za pekos na raison na style ya nywele kama kawa.
Yes hiii ndo suluhuWewe unafanya mazoezi? Kama hufahamu mazoezi ya kujenga mwili yatakufanya uonekane physically strong hata ukivaa nguo itakukaa vizuri tu.
Fanya cardio training, kuimarisha tumbo, mapaja, mikono nk.
Pia kama alivyoshauri mdau hapo juu nenda shopping na rafiki yako inawezekana hujui kuchagua nguo inayokukaa poa.
Hope this help
HA! HA! HA!Jaribu ovaroli na safety boot na helmet af zama club juu usisahau reflector uone kama madem kibao wanavokufuata na kukuomba ukae nao mana reflector itakufanya ung'ae kinoma.