Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,775
Kifinga.ha ha ha aha tafuta laki tatu na elfu 20 nenda kwa wakala wa kukata tiketi za ndenge waambie nataka return tiketi ya mwanza kwa fast jet watakupa tiketi ya kwenda na kurudi.Siku ya safari wahi saa moja kabla ya safari pale airport ubebe na kitambulisho chako chochote ukiwa na kupigia kura itakua vizuri zaidi then zingatia muda watu wa ndege wako makini na muda sana.baada ya maelezo hayo nakutakia safari njema usisahau kubeba simu yenye kamera kwa ajili ya kujipiga selfie ukiwa angani wanaruhusu usihofu na ukumbuke kuludi na ndoo ya samaki toka mwanza
helloKifinga.
Shukrani sana dada,ngoja namimi nikaone anga, selfie zinaruhusiwa?ha ha ha aha tafuta laki tatu na elfu 20 nenda kwa wakala wa kukata tiketi za ndenge waambie nataka return tiketi ya mwanza kwa fast jet watakupa tiketi ya kwenda na kurudi.Siku ya safari wahi saa moja kabla ya safari pale airport ubebe na kitambulisho chako chochote ukiwa na kupigia kura itakua vizuri zaidi then zingatia muda watu wa ndege wako makini na muda sana.baada ya maelezo hayo nakutakia safari njema usisahau kubeba simu yenye kamera kwa ajili ya kujipiga selfie ukiwa angani wanaruhusu usihofu na ukumbuke kuludi na ndoo ya samaki toka mwanza
Selfie ruksa mixer ukitaka kufaidi ikishakaa sawa kule juu nenda hadi chooni ukajionee si unajua tena ushamba mzigoShukrani sana dada,ngoja namimi nikaone anga, selfie zinaruhusiwa?
Kwani hakuna kuchimba dawa?..Selfie ruksa mixer ukitaka kufaidi ikishakaa sawa kule juu nenda hadi chooni ukajionee si unajua tena ushamba mzigo
Shukrani sana dada,ngoja namimi nikaone anga, selfie zinaruhusiwa?
Mkuu endelea kusubiri NOAH zetu kwanza huku hawagawi tiketi.Mimi pia jmn
Sawa, swali la mwisho, nikiwa angani nikichungulia dirishani naona vitu vya chini kama miji, misitu nk au havionekani?Selfie ruksa mixer ukitaka kufaidi ikishakaa sawa kule juu nenda hadi chooni ukajionee si unajua tena ushamba mzigo
Vinaonekana mkuu ila kwa udogo sana labda mkikalibia kutua ndio view ya mji unaiona clear kabisa watu magari na mishe mishe za mjini unazionaSawa, swali la mwisho, nikiwa angani nikichungulia dirishani naona vitu vya chini kama miji, misitu nk au havionekani?
Yeah... fungua dirisha uangalie mandhari huku ukijipiga selfie...Sawa, swali la mwisho, nikiwa angani nikichungulia dirishani naona vitu vya chini kama miji, misitu nk au havionekani?
Shukrani sasa safari imeiva naamini ntafurahia sana japo sina ninachofuata MwanzaVinaonekana mkuu ila kwa udogo sana labda mkikalibia kutua ndio view ya mji unaiona clear kabisa watu magari na mishe mishe za mjini unaziona
Shkamo kifingaha ha ha aha tafuta laki tatu na elfu 20 nenda kwa wakala wa kukata tiketi za ndenge waambie nataka return tiketi ya mwanza kwa fast jet watakupa tiketi ya kwenda na kurudi.Siku ya safari wahi saa moja kabla ya safari pale airport ubebe na kitambulisho chako chochote ukiwa na kupigia kura itakua vizuri zaidi then zingatia muda watu wa ndege wako makini na muda sana.baada ya maelezo hayo nakutakia safari njema usisahau kubeba simu yenye kamera kwa ajili ya kujipiga selfie ukiwa angani wanaruhusu usihofu na ukumbuke kuludi na ndoo ya samaki toka mwanza
Kwenye physics tulifundishwa dirisha la ndege halifunguliwi mkuu.Yeah... fungua dirisha uangalie mandhari huku ukijipiga selfie...
have fun bro ukifika tafuta hotel nzuri kula chakula kizuri enjoy life kwenda mwanza sio lazima uwe na ishu ni sehemu ya utalii na ku relaxShukrani sasa safari imeiva naamini ntafurahia sana japo sina ninachofuata Mwanza
Sawa, nashukuru nitafanya vyote na ntachukua tahadhari nisizinihave fun bro ukifika tafuta hotel nzuri kula chakula kizuri enjoy life kwenda mwanza sio lazima uwe na ishu ni sehemu ya utalii na ku relax