Sijawahi kupanda ndege, Mambo gani ya muhimu ya kuzingatia ukisafiri na ndege kwa mara ya kwanza?

Yeah inawezekana mkuu.Let say unakuja UK-Bradford by Ethiopian air.
Utatokea Dar/Kilimanjaro-Addis-London-Leeds-Bradford.
Huyo mwenyewe inaonekana sio mkweli...labda ngoja nimsaidie.....MFANO natoka DAR.....DUBAI.....ROME..NAPOLEAS...natoka DAR na KENYA airways nabadilisha NDEGE nairobi.....Napanda EMIRATES airways HADI DUBAI....tena nabadilisha NDEGE hadi ROME....then napata ITALIA AIWAYS naingia NAPOLEAS....hapo sawa unaweza ukabadilisha mara 3...ila yeye huyo aliyeleta UZI yaonyesha SIO MKWELI......nilitaka NIMPE challenge nione kama ni MKWELI na UZI WAKE....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusimlaumu, mwenyewe anasema ni mara ya Kwanza hivyo anahitajj kusaidiwa.
Hilo la kubadili ndege mara tatu linawezekana. Chukulia atapanda ndege kutoka mza to Hannover Germany. Atalazimika kwenda Nairobi/ Dar, halafu atabadili Amsterdam na kutoka hapo atabadili ya kumfikisha mwisho wa safari yake.
 
kikubwa usikilize maelezo yanayotolewa hasa nyie wa transit usiogope kuuliza wale wasaidizi wote kwenye airport kuanzia cabin crew ya ndege unayopanda ujuaji upe likizo
passport yako na ticket ndo uvishike mkononi siyo madubwasha mengine
Nimekuelewa Duh! Sio Kwa Kufoka Huku
 
Huyo mwenyewe inaonekana sio mkweli...labda ngoja nimsaidie.....MFANO natoka DAR.....DUBAI.....ROME..NAPOLEAS...natoka DAR na KENYA airways nabadilisha NDEGE nairobi.....Napanda EMIRATES airways HADI DUBAI....tena nabadilisha NDEGE hadi ROME....then napata ITALIA AIWAYS naingia NAPOLEAS....hapo sawa unaweza ukabadilisha mara 3...ila yeye huyo aliyeleta UZI yaonyesha SIO MKWELI......nilitaka NIMPE challenge nione kama ni MKWELI na UZI WAKE....

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kuomba ushauri wakati sina safari mkuu
Nasafiri kesho ,saa 8;55 asubuhi
Sema humu jokes nyingi, nami natumia ushauri mzuri unaotolewa na wadau, mengine nayaona changamoto ya uelewa wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaaam ndugu zangu,
Ninatarajia kusafiri kwa usafiri wa anga kwa mara ya kwanza kwenda ughaibuni, hii itakuwa ni mara yangu ya kwanza kutumia ndege, kwenye ticket inaonyesha nitabadilisha ndege mara tatu ndo ntafika mwisho wa safari.
Kwa hali huyo naomba wale mlowahi kutumia huu usafiri mnipe walau hints za vitu muhimu vya kuzingatia kabla, na wakati wa safari.

Nikifika nitawakaribisha sana, nitaakaa huko miaka 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
Omba vifuko vya kutapikia kabisa.
 
Js pack ur stuff well...
Vitu utakavohitaji mara kwa mara mf passport,vibali, etc weka ktk hand luggage... Naona bora kuwa na hand luggage moja tu ukiweza mabegi mengine ukachukulie mwisho wa safari
Ukiwa na shida uliza
Otherwise fika mapema, chill and enjoy ur flight
 
Back
Top Bottom