charleslee
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 408
- 201
HakikaKila kilichoumbwa na Mungu ni chema
[emoji2] [emoji2] [emoji2] usikawieUpofu wa genye unakusumbua tu mkuu.
Wabaya wapo wengi tu aiseeee.
Ngoja nikafukue makabrasha yangu nikuletee kapicha kidogo.
wabaya kwa lipi,tabia au? usiniambie kuhusu face sababu ww sio MunguUpofu wa genye unakusumbua tu mkuu.
Wabaya wapo wengi tu aiseeee.
Ngoja nikafukue makabrasha yangu nikuletee kapicha kidogo.
wrong interpretation [emoji108] [emoji116]Ubaya wa mtu upo machoni pa mtu kama ilivyo uzuri wa mtu upo machoni pa mtu.
Kwako mbaya kwangu mzuri na kinyume chake hivohivo.