Kuna muigizaji mmoja wa filamu anti Ezekiel aliwahi igiza muvi moja nzuri akiwa na msanii wa kiume jina nimemsahau kidogo,muvi ilikuwa ya kichekesha mwanzo mwisho Kuna sehemu alikwaruzana na mme wake akachukua bajaji aliitoa nduki mpaka nikashangaa kwa Nini huyu dada asikikuze hiki kipaji.
Naona asha boko ni babaake mzaziEbitoke na kansime ni kaka zako?
Yes uko vizuri.Sio ile aliyoigiza na Mboto?
Kuna yule mmoja alikuwa chale chale hiviii kipindi cha nyuma akajaga kuumwa alikuwa anaigiza na kiwewee, akiitwa nani sijui? Alikuwa yupo vizuri sanaa. [emoji3]
Sasa hao kina joti na masanja,kina hakika si ndo wanawake wenyewe 🤣🤣🤣Salamu,
Hiki kipaji inaonekana Mungu hajawapa hawa akina Hawa, naona labda kwa wenzetu wazungu. Hata kwa wazungu sijaona, hapa bongo nawaona tu kina joti na wenzake kina mpoki na Masanja.
Hebu wamama jitokezeni kidogo tuwaone kwenye hii fani ya kuongeza siku. Naona comredi Joti ameamua kuchukua nafasi yenu na anafanya vizuri na anapiga pesa ninyi mmekaa tu mnamtolea macho, joti anapiga hela.
Inawezekana labda ni fani ngumu sana kwenu jaribuni hata kidogo basi.
Sema yule Ebitoke mi naona ukitoa ule wanja na yale mafuta anayojikandika usoni hamna kitu anachekesha.Ebitoke na kansime ni kaka zako?
😅 Yeees “kiwewee na matumaini” hii duo ilikuwa ya nzurii sanaa, aliendaga wapi yule dada, nasikia aliumwa sanaa.Matumaini[emoji1787][emoji1787]
Kidogo anajitahidi kuwawakilisha kina Hawa.Sema yule Ebitoke mi naona ukitoa ule wanja na yale mafuta anayojikandika usoni hamna kitu anachekesha.
50/50 na wanwake ndo wengi dunia ila utashangaa kila kona wapo wachache watu maarufu wachache , matajiri, wanamichezo, vipaji .
Ni kwamba Mungu kawapa kipawa wanaume kutawala dunia japo wapo wachache kiidadi
Wanapoteaga ghagla.😅 Yeees “kiwewee na matumaini” hii duo ilikuwa ya nzurii sanaa, aliendaga wapi yule dada, nasikia aliumwa sanaa.
Alikua na Mboto walikua wafanyakazi wa ndani "beki tatu" kama sio hii basi na hii ni bonge ta comedy flani hivi [emoji119]Kuna muigizaji mmoja wa filamu anti Ezekiel aliwahi igiza muvi moja nzuri akiwa na msanii wa kiume jina nimemsahau kidogo,muvi ilikuwa ya kichekesha mwanzo mwisho Kuna sehemu alikwaruzana na mme wake akachukua bajaji aliitoa nduki mpaka nikashangaa kwa Nini huyu dada asikikuze hiki kipaji.
Wapo wengi tu sema hufuatilii Comedy at allSalamu,
Hiki kipaji inaonekana Mungu hajawapa hawa akina Hawa, naona labda kwa wenzetu wazungu. Hata kwa wazungu sijaona, hapa bongo nawaona tu kina joti na wenzake kina mpoki na Masanja.
Hebu wamama jitokezeni kidogo tuwaone kwenye hii fani ya kuongeza siku. Naona comredi Joti ameamua kuchukua nafasi yenu na anafanya vizuri na anapiga pesa ninyi mmekaa tu mnamtolea macho, joti anapiga hela.
Inawezekana labda ni fani ngumu sana kwenu jaribuni hata kidogo basi.
Kupunguza stress kidogo ndugu maana kule kwenye forum kubwa kubwa Kuna habari za upigaji tu wiki hi hadi unaona hasiraYan umekurupuka na hangover kuanzisha thread ya ajabu ajabu tu.Ebitoke,Kansime huwajui ww