Sijawahi kuona bibi harusi kibonge

KING 360

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,002
Reaction score
5,201
Wakuu salaam kwenu,

Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza.

Katika harusi zote nilizoshuhudia sijawahi ona bibi harusi mnene, wakati mtaani wamejaa wadada vibonge. Najiuliza hao walioolewa huwa wananenepa baada ya kuolewa, na je hawa wadada vibonge ambao bado hawajaolewa huwa hawaolewi
kwa kufanya harusi au wanafungaga ndoa zile za kimila ambazo watu huwa wanaoana kimya kimya au kuna mazoezi wanayofanya hadi kuwa wembamba.

Au vibonge huwa hawafanyiwi harusi au ni macho yangu mimi naonaga ni wembamba na wale saizi ya kati ambao sio wanene au wembamba nao ni wachache. Vipi kuhusu nyie wanajamvi huwa mnazishuhudia harusi za wanawake vibonge uko kwenu?
 
Kila mtu anataka picha zipendeze siku ya harusi, maana hata wajukuu wataziona kama ni majaaliwa. Ukishaona jamaa yuko serious na mahari imelipwa unaanza kushinda na njaa. Wengine wanafunga kabisa kumuomba Mungu awajalie safari njema kwenye ndoa, lakini yote hayo matokeo yake ni kuwa ki portable.Unakumbuka ile style ya bwana harusi kumbeba bibi harusi beach, sasa kama umehifadhi kilo za mafuta nani ataweza kukubeba zaidi ya Power Mabula.
 
Nimekusoma mkuu
 

Kwendraaaaaaaa.......
 
ahahaa kweli hapo kwa dieti sio issue
 
Wakishafika kwa mume wanaridhika ndugu, unalalia dushe usiku kucha kwa mwaka wafikiri ni haba???
 
Okay tufanye sawa haujaona... So what? Kwani vitu vingine vyote wewe umeviona? Umeshaona self contained ndani ni choo cha shimo.... Mbado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…