Watu tupo tofauti kweli.....mie lazima mchana nipate masaa mawili ya kulala unless najiskia kuumwa tu na usiku nalala masaa 8-10.....kichwa cha mausingizi hichi lol
Angetaja tu exactly miaka yake coz nobody care, na pia humu tunaingia kwa fake nicknames hamna anaemjua instead ya kusema 23 hadi 26. kwa hiyo hata akifa itaandikwa amekufa na umri wa 23 hadi 26??
Unauhakika gani?
Kama unamoyo wa kuchangia huo umri niliotaja hapo ungetosha kutoa mtazamo wako!
Miaka yangu yakuhusu nini?
Kama 'no body care' mbona umeshupalia hapo tu?