jangoma Senior Member Joined Sep 24, 2023 Posts 149 Reaction score 325 Feb 6, 2024 #1 Huu ni mwaka wangu wa 30 toka mama angu mpendwa aliponileta duniani lakini wallah nawambia sindano haizoeleki. NB mimi ni mkurya wa Mara sio mwanaume wa Dar.
Huu ni mwaka wangu wa 30 toka mama angu mpendwa aliponileta duniani lakini wallah nawambia sindano haizoeleki. NB mimi ni mkurya wa Mara sio mwanaume wa Dar.
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Feb 6, 2024 #2 sindano gani kwanza
Execute JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 3,005 Reaction score 7,375 Feb 6, 2024 #3 Unataka uzoee kutobolewa?
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Feb 6, 2024 #4 jangoma said: Sindano unayochoma kuingiziw dawa mwilini Click to expand... aah hiyo haizoeleki kweli
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,315 Reaction score 72,082 Feb 6, 2024 #5 Pole, mimi naogopa buibui😬 Arachnaphobia
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 15,962 Reaction score 20,291 Feb 6, 2024 #6 Sawa kabisa,mi toka utoto neno nilinukuu ni injection room ,yaani daktari akiandika hivyo tu.mi narudi home nikafe sawa. Dawa nakunywa hata 100.
Sawa kabisa,mi toka utoto neno nilinukuu ni injection room ,yaani daktari akiandika hivyo tu.mi narudi home nikafe sawa. Dawa nakunywa hata 100.
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,315 Reaction score 72,082 Feb 6, 2024 #7 Yako inaitwa trypanophobia
Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 21,157 Reaction score 29,775 Feb 6, 2024 #8 jangoma said: Huu ni mwaka wangu wa 30 toka mama angu mpendwa aliponileta duniani lakini wallah nawambia sindano haizoeleki. NB mimi ni mkurya wa Mara sio mwanaume wa Dar. Click to expand... Kafanye mazoezi na wagonjwa wa kisukari ya kujifunga sindano mwenyewe au mateja wa dawa za kulevya
jangoma said: Huu ni mwaka wangu wa 30 toka mama angu mpendwa aliponileta duniani lakini wallah nawambia sindano haizoeleki. NB mimi ni mkurya wa Mara sio mwanaume wa Dar. Click to expand... Kafanye mazoezi na wagonjwa wa kisukari ya kujifunga sindano mwenyewe au mateja wa dawa za kulevya
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,324 Reaction score 62,216 Feb 6, 2024 #9 We bado mgeni kiumeni ila usijali utazoea
A Asamwa JF-Expert Member Joined Apr 13, 2012 Posts 3,785 Reaction score 2,552 Feb 6, 2024 #10 Amehlo said: aah hiyo haizoeleki kweli Click to expand... Kwani wewe ulifikiri sindano ipi?!
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Feb 6, 2024 #11 Asamwa said: Kwani wewe ulifikiri sindano ipi?! Click to expand... sijui hata
F From Meru JF-Expert Member Joined May 19, 2023 Posts 4,041 Reaction score 9,628 Feb 6, 2024 #12 sindano ya dawa napenda nichomwe nipone haraka kuliko kumeza vidonge. uoga wangu kuendesha gari na pikipiki na baiskel. nilipata ajali mara 8 ktk maisha yangu ya hivyo vyombo toka udogo mpaka utu uzima wangu. wanasema motorphobia
sindano ya dawa napenda nichomwe nipone haraka kuliko kumeza vidonge. uoga wangu kuendesha gari na pikipiki na baiskel. nilipata ajali mara 8 ktk maisha yangu ya hivyo vyombo toka udogo mpaka utu uzima wangu. wanasema motorphobia
A Asamwa JF-Expert Member Joined Apr 13, 2012 Posts 3,785 Reaction score 2,552 Feb 6, 2024 #13 Amehlo said: sijui hata Click to expand... Hahaha. Kataa tu lakini ulivyouliza iliashiria kuna sindano aina nyingine!
Amehlo said: sijui hata Click to expand... Hahaha. Kataa tu lakini ulivyouliza iliashiria kuna sindano aina nyingine!
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Feb 6, 2024 #14 Asamwa said: Hahaha. Kataa tu lakini ulivyouliza iliashiria kuna sindano aina nyingine! Click to expand... ya kushona nguo au viatu
Asamwa said: Hahaha. Kataa tu lakini ulivyouliza iliashiria kuna sindano aina nyingine! Click to expand... ya kushona nguo au viatu
A Asamwa JF-Expert Member Joined Apr 13, 2012 Posts 3,785 Reaction score 2,552 Feb 6, 2024 #15 Amehlo said: ya kushona nguo au viatu Click to expand... Inabidi nikubali tu shingo upande...!