Sijawahi kuishi kinyonge (bila madeni) tangu 2013

Hujatuambia ukikopa unafanyia nini. Kukopa sio kitu kibaya. kuna jamaa yeye anakopa sana, yaani asisikie mahali kuna mkopo. Anachofanya yeye anabiashara nyingi tu, ana mashamba, ana boda na bajaj zaidi ya 20, ana magenge madogo madogo na ana mikopo kila mahali, hana hali mbaya ya maisha, pesa yake hailali mahal inazunguka kila kona kulipa madeni, na kuzunguka kwenye biashara zake!
 
Wa hivi hawaotagi vitambi na ikitokea kikaota basi uwa na kakiuno kadogo Kama wahindi ,huwezi kuwa sawa jamani mikopo sio ndugu zangu
 
Tangu nianze job, kuanzia benki, vikundi, dukani, na kwa wana.
Baada ya hapo nikahamia microfinance, huko kwa kuwa hakuna kipengele cha kuzingatia kuwa ibaki 1/3 ya mshahara, ndo najilipua muda wowote.

Yaani akaunti yangu haijawahi kukaa kinyonge, bila deni. Imefikia hatua sasa nikiwa na madeni matatu najiona niko free sana, lazima nivute mikopo hata ya miezi 6 tu ili akili ichakate data.

Kwa sasa kausha damu zimenizoea kiasi kwamba nikichelewesha siku kadhaa, inabidi tu waelewe.
Nikimsikia mtu ana mkopo mmoja, halafu analalamika, namshangaa sana. Kimoyomoyo namwambia ''ukipewa mikopo yangu unazimia kenge wewe.''
Polee. Jitahid ujinasue hapo, hauko mahala salama sanaa. Hasa kama una plan kuwa na maendeleo plus familia
 
Tangu nianze job, kuanzia benki, vikundi, dukani, na kwa wana.
Baada ya hapo nikahamia microfinance, huko kwa kuwa hakuna kipengele cha kuzingatia kuwa ibaki 1/3 ya mshahara, ndo najilipua muda wowote.

Yaani akaunti yangu haijawahi kukaa kinyonge, bila deni. Imefikia hatua sasa nikiwa na madeni matatu najiona niko free sana, lazima nivute mikopo hata ya miezi 6 tu ili akili ichakate data.

Kwa sasa kausha damu zimenizoea kiasi kwamba nikichelewesha siku kadhaa, inabidi tu waelewe.
Nikimsikia mtu ana mkopo mmoja, halafu analalamika, namshangaa sana. Kimoyomoyo namwambia ''ukipewa mikopo yangu unazimia kenge wewe.''
hilo ni pepo mkuu
 
Hongera sana. Ila tueleze pia umefanya maendeleo gani kupitia hiyo mikopo
 
Masikini wanaogopa kukopa, ila matajiri wanafurahi kukopa.
 
Hujatuambia ukikopa unafanyia nini. Kukopa sio kitu kibaya. kuna jamaa yeye anakopa sana, yaani asisikie mahali kuna mkopo. Anachofanya yeye anabiashara nyingi tu, ana mashamba, ana boda na bajaj zaidi ya 20, ana magenge madogo madogo na ana mikopo kila mahali, hana hali mbaya ya maisha, pesa yake hailali mahal inazunguka kila kona kulipa madeni, na kuzunguka kwenye biashara zake!
Wa hivi ni wachache sana ila na wao huwa hawalali ni kukimbizana muda wote. Na siku mambo yakienda hovyo huwa ni balaa kwao. Sema ukizoea mikopo inaleta uraibu
 
Back
Top Bottom