Sijawahi kufanya mapenzi naombeni mnishauri

Sijawahi kufanya mapenzi naombeni mnishauri

Huu si utani ni kweli....... Mimi ni mwanaume Kutokana na maisha ya kilokole niliyoyaishi nina miaka 24 sasa na cjawahi kufanya mapenz na mwanamke yeyote but mwanzon mwa mwaka huu kuna binti nilikua na kwenye mahusiano. Cku nikamkaribisha geto ninapoishi ile kukaa nae chumbani mimi na yy tukashawishika nikamvua nguo zote akalegea ile nataka kuanza akasema usifanye hivo tutamkosa Mungu. Daaah si nikaacha. So nitakua mzima kweli mimi????? Nisaidieniiii

Hii ni hatari sana..... Baada ya Kufanya agano Takatifu la Damu na Yesu Kristo; je sasa unataka umkanyage Yesu na kuvunja agano hilo kwa kufanya AGANO OVU LA DAMU KWA UZINZI?. Je haujui kuwa wokovu hupatika mala moja tu na hakuna tena second chance?.

HEBU JIBU HAYA MASWALI?
1. Je unajuwa kama unae Roho Mtakatifu?
2. Je, ulishakuwa na ushirika na Roho Mtakatifu?
3. Je, unakubali kwamba mwili wako ni Hekalu la Roho Mtakatifu?
4. Je, ni kweli umeokoka?

KAMA HAYA YOTE JIBU LAKE NI NDIO... SASA Imeandikwa "hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu, na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo, wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakatubu; kwa kuwa wamsulibisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao, na kumfedhehi kwa dhahiri" (ebrania.6:4-8)

Wewe ulishapata ondoleo la Dhambi na Kutakaswa Kwa Damu Ya Yesu... SASA Je haujui kuwa utakaso wa Yesu ni mala moja tuu na mtu yeyote akiupoteza hawezi kutakaswa tena? Kwamaana imeandikwa "sisi tumetakaswa na kufanywa watakatifu kwa njia ya sadaka ya mwili wa Yesu Kristo alioutoa mara moja tu"... Na inamalizia kwa kusema "Basi, ondoleo la hayo likiwapo, hapana toleo tena kwa ajili ya dhambi".(ebrania.10:10,18)

Wewe Kijana... Mungu amekutunza kwa miaka yote hiyo na kukuokoa.... Sasa Je unataka kumlipa Mungu kwa kufanya NGONO?. Je unataka kuangamia?. imeandikwa "Kama mtu ye yote akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamwangamiza mtu huyo, Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi" (1korinth.3:16-17)

Mtu akiokoka alafu akafanya mzaha na kuupoteza huo wokovu hawezi tena akaokolewa... tena ingekuwa ni bora kwa mtu huyo asingepata mambo hayo ya ondoleo la Dhambi.

imeandikwa "Kwa kuwa kama wameukimbia upotovu wa dunia kwa kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo, kisha wakanaswa tena na kushindwa, hali yao ya mwisho ni mbaya zaidi kuliko ile ya kwanza. Ingelikuwa afadhali kwao kama wasingeliijua kamwe njia ya haki, kuliko kuijua kisha wakaiacha ile amri takatifu waliyokabidhiwa. Imetukia kwao sawasawa na ile mithali ya kweli isemayo, "Mbwa ameyarudia matapishi yake mwenyewe,'' tena nyingine yasema, "Nguruwe aliyeoshwa amerudi kugaa-gaa matopeni.''

Kwayiho kwa huruma kuu kaka yangu ndugu yangu katika Roho kama kweli uliokoka basi haya uliyoyasoma na uyafanyie kazi sana... JIPIME MWENYEWE NA UONE KAMA WEWE NI WAKUPOTEA AU WA KUOKOLEWA?. "
Ikimbieni zinaa. Dhambi nyingine zote atendazo mtu ziko nje ya mwili wake, lakini yeye aziniye hutenda dhambi ndani ya mwili wake mwenyewe" (1korinth.6:18)

Basi mwenye macho na asome, mwenye hekima na afanyie kazi, lakini kama sivyo hivyo basi imeandikwa "
Mwanadamu mwenye heshima, iwapo hana akili, Amefanana na wanyama wapoteao" UWE NA AKILI NA USILICHUKUE HEKALU TAKATIFU LA MUNGU NA KURIHARIBU KWA UZINZI. AMEN.
 
Huu si utani ni kweli....... Mimi ni mwanaume Kutokana na maisha ya kilokole niliyoyaishi nina miaka 24 sasa na cjawahi kufanya mapenz na mwanamke yeyote but mwanzon mwa mwaka huu kuna binti nilikua na kwenye mahusiano. Cku nikamkaribisha geto ninapoishi ile kukaa nae chumbani mimi na yy tukashawishika nikamvua nguo zote akalegea ile nataka kuanza akasema usifanye hivo tutamkosa Mungu. Daaah si nikaacha. So nitakua mzima kweli mimi????? Nisaidieniiii
utakuwa umekufa nahisi
 
hapo subiria baraka tele kutoka kwa Mungu.... jitahidi kujiweka safi mpaka mda utakapo wadia... umetoka mbali hivyo ni mbaya ukifanya haya wakati punde unaweza ukafanya kihalali.... jitahid kutoweka mazingira ya kushawishiana kufanya hayo mambo
 
We ni mzima kabisa ndio maana hisia zikakuijia na ungemlazimisha ingekuwa ni kubaka. Ushukuru kufikia umri huo bila ya kwani mengi umeyaepuka unaona sasa unajua hata baya na zuri na uamuzi wowote utakaofanya utafanya kwa kufikiria na si kukurupuka.
 
yani bora ungemaliza tu maana tayari unadhambi kubwa saana ka kuwa na girlfriend.ssa alipokuambia mungu hapendi ililala au ilikuwaje mpaka ukaacha?
 
yani bora ungemaliza tu maana tayari unadhambi kubwa saana ka kuwa na girlfriend.ssa alipokuambia mungu hapendi ililala au ilikuwaje mpaka ukaacha?
 
Huu si utani ni kweli.

Mimi ni mwanaume Kutokana na maisha ya kilokole niliyoyaishi nina miaka 24 sasa na sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yeyote but mwanzoni mwa mwaka huu kuna binti nilikua naye kwenye mahusiano.

Siku nikamkaribisha gheto ninapoishi ile kukaa nae chumbani mimi na yeye tukashawishika nikamvua nguo zote akalegea ile nataka kuanza akasema usifanye hivo tutamkosa Mungu.

Daaah si nikaacha. So nitakua mzima kweli mimi?

Nisaidieniiii

ungekuwa ke ningekusaidia...ila ni me! jisaidie mwenyewe mkuu...
 
Back
Top Bottom