Sijawahi kufanya mapenzi naombeni mnishauri

Sijawahi kufanya mapenzi naombeni mnishauri

mtoto mdogo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
501
Reaction score
130
Huu si utani ni kweli.

Mimi ni mwanaume Kutokana na maisha ya kilokole niliyoyaishi nina miaka 24 sasa na sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yeyote but mwanzoni mwa mwaka huu kuna binti nilikua naye kwenye mahusiano.

Siku nikamkaribisha gheto ninapoishi ile kukaa nae chumbani mimi na yeye tukashawishika nikamvua nguo zote akalegea ile nataka kuanza akasema usifanye hivo tutamkosa Mungu.

Daaah si nikaacha. So nitakua mzima kweli mimi?

Nisaidieniiii
 
The law of use and disuse of organ,angalia zikiongezeka sana unaweza badilika jinsia watu wakakufanyizia
Ina maana hata ndoto Nyevu hujawahi kuota? Siku ukianza utakuja kulia kwa utamu LOL
 
Huu si utani ni kweli....... Mimi ni mwanaume Kutokana na maisha ya kilokole niliyoyaishi nina miaka 24 sasa na cjawahi kufanya mapenz na mwanamke yeyote but mwanzon mwa mwaka huu kuna binti nilikua na kwenye mahusiano. Cku nikamkaribisha geto ninapoishi ile kukaa nae chumbani mimi na yy tukashawishika nikamvua nguo zote akalegea ile nataka kuanza akasema usifanye hivo tutamkosa Mungu. Daaah si nikaacha. So nitakua mzima kweli mimi????? Nisaidieniiii

Don't try it,is a death trap.
 
subiri hadi wakati wa ndoa, neno la Mungu linazuia kuzini we fuata mafundisho ya dini tu hautapungukiwa na chochote
 
bibilia inasema "azinie na mwanamke hana akili kabisa"
Bora Ata uliacha mkuu, hongera sana subiri uoe.....
 
Mmmmh... utakua unyantuzu wa simiyu wewe.

Haya bw. hongera kwa kutunza bikira yako, hata miaka 24.
 
Back
Top Bottom