Sijawaelewa Tigo na hii meseji

Sijawaelewa Tigo na hii meseji

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,772
Hongera Mteja,Tigo imekuchagua kuingia kundi la wateja muhimu wa Postpaid,hutonunua vocha tena.Tembelea duka la Tigo kuunganishwa au piga no.0655123295
 
Walinitumia nikawasiliana nao,kama unamatumizi makubwa au unaweka salio kubwa ndipo unachaguliwa,ukipenda uwe kwenye malipo ya baada.
 
huduma hiyo ipo na mtu yoyote anaweza kiitumia, fuatilia vigezo na masharti yao.
 
Back
Top Bottom