Sijaulewa wimbo huu wa shishi baby

Katika nyimbo zote za shishi huo wa say ma name ndio umenikosha ila kwenye chorus tu huko kwingine hata sielewagi anaimba nini.
 
Kusikiliza nyimbo za uyu Dada mpaka uelewe labda uwe na radio cassette.
 
Nimekuwa nikisikiliza kwa muda wimbo wa Say my name wa Shishi baby lakini sikuwa nikielewa kile kipande anachoimba Barnaba anaimba vitu gani,Leo nimefanikiwa kupata lyrics na bado nimeendelea kushangazwa!!!! Hivi Barnaba alimaanisha nini alipoimba 'Ni shimo la wengi,ye ndo shimo la wengi kuweka taka,kuweka takataka' Kama kuna mtu anakielewa kipande hiki anijuze kinamaanisha nini!
barnaba nae kashakua mkun.du tu,nnachokiskia huko ni tekno baby,tekno baby
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom